Mwanetu Hamisa hana Baraka za Wazazi wa Aziz Ki

Mahari million 30 na single maza wa wababa wawili…. Zaidi maex, hit & run anajaza SGR 😹😹

Masijala naweka kumbukumbu sawa 🀣
Hahahaha, hii Ndoa nilipoona Zama Yuko front nikajua hapa Aziz K kwisha habari yake...
 
Kwa habari nayo ijua ni kuwa ndoa iyo ina maigizo azizi ki ni kivuli tu
Nadhani hivyo... Huyo dogo wawezi beba jimama lile aweke ndani nakataa. Mwanamke Ambae amezalishwa na wanaume wawili wenye wenye pesa zao na wote wakamkataa ww unaenda kuzoa unaweka ndani! Hapana nakataa Kuna game imechezwa hapo na kama ni kweli bas kijana atakuwa ametumia akili za chini na si akili za kichwani na itamghalim
 

But ndoa ni jambo la kheri na anaolewa yoyote Kwa Jin's Mungu alivomkadiria hata awe na watoto Saba nae anao wawili kwahiyo ni 2-2 mkuu
 
Mimi inaniuma sana kwanini Mwanangu Aziz anakuwa kama mwehu kuoa mwanamke amezaa na mijamaa ambayo imemtosa au yeye ndo shida, na hayo yana pesa hayakumuoa, na usikute yanaona mtandaoni yanakenua tu pumbavuu kabisa 🀬😑
Inakuuma ukiwa wapi?
 
Kwelikuna dosari dosari dosari ktk ndoa hii
 
... Nami niliumwa sikio Eng anatafuna huu Mzigo, ndiyo ikapigwa hii sinema kuzima moto huko ndani kwa Eng ambako moto unafukuta.
 
Unawadahanu wazazi wa Aziz Ki?

Sio umbea, ama ulitaka akuoe wewe! Haoi wanaume!

Ila AZIZ BORA AOE LISHANGAZI
 
Pengine ni ndoa iliyoshinikizwa na mwanamke
Pengine imefanyika kuwajibu wabaya wao (utasikia katolewa mahari ya milion 30m!)

Sema nini, kufanya maisha yako binafsi ya siri kuna epusha mambo mengi
 

Attachments

  • CCC.jpg
    47.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…