Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi.

Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo.

Katika kuomba taarifa, mteja huwa hashirikishi kwa kuwa zinatumika kiuchunguzi. Amesema hayo katika mahojiano maalumu yaliyofanyika katika channel ya Youtube ya TCRA.

 
Back
Top Bottom