Mwanmke anaekimbilia kuvunja ndoa kisa mali furaha yake hudumu kwa muda mfupi kwenye nyumba isiyo na mume wa kumheshimisha kwenye jamii

Mwa
Mwanamke ndio mlezi wa watoto , angeweza kuwalea watoto vizuri ata hizo tabia zingetoweka .
 
Naomba utupie picha humu jf, mionekano ya wanaume inayowashtua wanawake Jadda
 
Mwa

Mwanamke ndio mlezi wa watoto , angeweza kuwalea watoto vizuri ata hizo tabia zingetoweka .
Mwanamke ni mlezi wa watoto kwenye suala la ukuaji wa mwili mkuu, ila tabia ni jukumu lenu wote baba na mama, wanaume msiwaachie wanawake tu

Halafu pia genetics nazo siyo kitu cha kudharau, zina nguvu na zinaplay part kubwa katika kuamua tabia na akili za mtoto, so watoto wanaweza kurithi tabia za hovyo za baba zao hata walelewe vipi

Na waswahili wana msemo wao unasema "vya kurithi vinazidi"
 
Kabsa mkuu
 
Asilimia 80 ya waliopeana talaka baada ya miaka kumi ujutia maamuzi Yao na kutamani siku zirudi nyuma waungane tena hasa kama walishazaa sema ndio hivyo tena.
Ule muunganiko wa kiroho ni muunganiko wa kiMungu
Hakuna mshindi kwenye talaka...both parties loose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…