Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Wanaume wangapi wamekataa mimba zao? Huo ni uuaji piaWeeee...! Huyu kafanya unyama lakini wanawake ndio katiri namba moja duniani. Wengi wao wameripotiwa kupiga watoto wao,wasichana wa kazi hadi kutoa uhai. Wengine kutupa kichanga alichozaa,wengine walio wengi kutoa mimba
He!Hatujui chanzo, pengine jamaa alistahili pongezi na sio kifungo
Mkuu MAMBO VIP?
Poa poaMkuu MAMBO VIP?
Mimi pia ni mwalimu mkuu Hamna nafasi ya kufundisha hapo kituoni kwako vip mkuuPoa poa
Nafundisha wazalendo mkuu, labda ucheki na Mwl Athumani Ramadhani mwl balige Mwl Evarist Mchele Mwl PhilemonMimi pia ni mwalimu mkuu Hamna nafasi ya kufundisha hapo kituoni kwako vip mkuu
Wakala wa shetani utoe uhai Tena mwanmke alfu upongezweHatujui chanzo, pengine jamaa alistahili pongezi na sio kifungo
Kama alitaka kwenda kumaliza mtaa wa hapo lunzewe utasemaje..?Wakala wa shetani utoe uhai Tena mwanmke alfu upongezwe
Pongezi kwa mauaji?Hatujui chanzo, pengine jamaa alistahili pongezi na sio kifungo
Upo sahihi naunga mkono hojHatujui chanzo, pengine jamaa alistahili pongezi na sio kifungo
Ni suala la timing, what if aliyetaka kuuawa ni yeye, mnasikiliza story ya upande mmoja tuuPongezi kwa mauaji?
Na mtoto mdogo nae alitaka kununua mtuhumiwa?Ni suala la timing, what if aliyetaka kuuawa ni yeye, mnasikiliza story ya upande mmoja tuu
Ajali kaziniNa mtoto mdogo nae alitaka kununua mtuhumiwa?
Hii yakumtoa binadamu kwenye kundi la wanyama tunalitoa wapi.Binadamu ni mnyama kama wanyama wengine.Na ndiye mnyama hatari na hatarishi kuliko wanyama wote duniani.Kuna watu makatili zaidi ya wanyama , sasa mtoto kafanya nini jamani.
Kuna mwanamke amekufa kwa kunywa sumu kisa mapenziKuna watu makatili zaidi ya wanyama , sasa mtoto kafanya nini jamani.