Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Wanaume wangapi wamekataa mimba zao? Huo ni uuaji piaWeeee...! Huyu kafanya unyama lakini wanawake ndio katiri namba moja duniani. Wengi wao wameripotiwa kupiga watoto wao,wasichana wa kazi hadi kutoa uhai. Wengine kutupa kichanga alichozaa,wengine walio wengi kutoa mimba