Mwanza: Aliyemuua Mpenzi wake aonesha alipomfukia

Mwanza: Aliyemuua Mpenzi wake aonesha alipomfukia

Weeee...! Huyu kafanya unyama lakini wanawake ndio katiri namba moja duniani. Wengi wao wameripotiwa kupiga watoto wao,wasichana wa kazi hadi kutoa uhai. Wengine kutupa kichanga alichozaa,wengine walio wengi kutoa mimba
Wanaume wangapi wamekataa mimba zao? Huo ni uuaji pia
 
ingekuwa Arabuhi huyo ni wa kunyonga hadharani hadi kufa.
 
Back
Top Bottom