Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
ZinakujaHakuna picha, Hakuna video
Nimefurahi kusikia kuwa wanajeshi wanapelekewa moto na polisi mtindio mmoja.Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.
Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.
Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.
Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.
HahahaaaNimefurahi kusikia kuwa wanajeshi wanapelekewa moto na polisi mtindio mmoja.
😁😁Nimefurahi kusikia kuwa wanajeshi wanapelekewa moto na polisi mtindio mmoja.
Huenda wanahuruma tu.toka tarehe 29 nimetoe kuwadharau hawa jamaa
Kwahiyo mwanangu kwa hali ya kawaida tu ulikuwa ukiamini hizo kauli? Kwa kawaida ukiachana na mtu mwenye silaha, mtu mmoja Huwa na uwezo wa kupigana na mtu mmoja mwenye uzito na uwezo wa kimapigano unaofanana. Hizo za mtu mmoja kupigana na watu wengi na akashinda ni porojo za holywoodKumbe Huwa ni uongo kuwa mwanajeshi mmoja ni sawa na polisi miambili(200)kiuwezo wa kila kitu?
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.
Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.
Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.
Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.
Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.
VERY TRUE.... JEURI YAO HUWA NI BUNDUKIWachumba tu wote ukiondoa kutumia bunduki police na wanajeshi wa tanzania wa miaka hii wote wachumba tu na mashoga
Kama wanabisha jitokezeni twende Taifa pale tuweke mapambano ya raia na wao!!
Wasije kuuana.Unawaamua wa Nini?