uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Wasije kuuana.
Angalau miwili yao ingekuwepo ya kuwazika
Wasije kuuana.
Vijana waliopita jkt Huwa wanasema makamanda wa huko huwa wanawaaminisha kuwa wao ni wa kubwa mbele ya polisi Kwa kila kitu.Kiufupi viongozi wao huwa wanawapotosha sana kiasi kwamba mwanajeshi akiwa Hana akili ya kujiongeza unaweza kweli kufanya ujinga kama aliyofanya huyoKwahiyo mwanangu kwa hali ya kawaida tu ulikuwa ukiamini hizo kauli? Kwa kawaida ukiachana na mtu mwenye silaha, mtu mmoja Huwa na uwezo wa kupigana na mtu mmoja mwenye uzito na uwezo wa kimapigano unaofanana. Hizo za mtu mmoja kupigana na watu wengi na akashinda ni porojo za holywood
Si tumekubaliana hawa jamaa ni maanko tAngemchania na magwanda yake huyo mgambo..!! Jeshi matopeni 🥹😹
Wewe jamaa yangu siku za hivi karibuni umeharibika sana haukuwa hivi kaka .I think the police should understand that they are not equals with the military in any form... Confusing these roles only breeds tension and disrespect.
KhaAngalau miwili yao ingekuwepo ya kuwazika
kheeAngemchania na magwanda yake huyo mgambo..!! Jeshi matopeni 🥹😹
Kwanini mkuu?toka tarehe 29 nimetoe kuwadharau hawa jamaa
Kwenye hizi ajira kuna kitu kinaitwa umahiri na ubobevu wa kazi. Hapo askari polisi itakuwa pamoja na kuonekana paka ila huwa anajiweka fit kama chui. Na huyo mjeshi japo anaonekana kama chui ila ana mentality ya paka, ndo maana amepigika.Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.
Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.
Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.
Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.
Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.
Ngoja ni copy huu ung'eng'e nita utumia siku moja wallahiI think the police should understand that they are not equals with the military in any form... Confusing these roles only breeds tension and disrespect.
Hataree sana🤣🤣🤣😁😁😁laana ya jwtz kuwasaliti wananchi na kuungana na genge la wauaji itawatesa sana,.
angefirwa hadharani ningefurahi sana, nawapongeza wananchi kwa kuangalia tu show.
Watajijua wenyewe.Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.
Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.
Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.
Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.
Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424