Mbwa kala mbwa!Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.
Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.
Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.
Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.
Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424
Proof ya nini?Weka proof hapa
Wamewakusanya watoto kutoka UVCCM na kuwavika sare ya JWTZ!!Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.
Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.
Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.
Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.
Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424
Hapo ilipaswa kila mmoja raia wawakadhi kila mmoja kisu ili mpambano unoge.Nimeskitika sn kwamba hawajauana daaah, hivi raia kwann hamkutoa msaada hao wapumbavu wauane yaan namaanisha mngehakiksha yanauana haya masengerema.
Askari polisi yupo kazini,halafu kasukumwa tena kaanguka ,akaamka kisha akajitetea. Sasa tena huyohuyo eti achukuliwe hatua. Ni sawa kweli hiyo ?Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.
Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.
Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.
Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.
Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424
Waambie "Mafwele huyoo" uone watakavyo toka ndukiTiger Mafia.
View attachment 3519682
Harika ombe.Askari polisi yupo kazini,halafu kasukumwa tena kaanguka ,akaamka kisha akajitetea. Sasa tena huyohuyo eti achukuliwe hatua. Ni sawa kweli hiyo ?
Msaada gani sasaNimeskitika sn kwamba hawajauana daaah, hivi raia kwann hamkutoa msaada hao wapumbavu wauane yaan namaanisha mngehakiksha yanauana haya masengerema.
Erawe !Harika ombe.
Mkuu Ethiopia umeenda mbali sana 😜😀😀😀, watu wanawaza kupeleka vifaa mwezini sisi bado tunavunja matofali na vichwa 😂😂😂Ethiopia...watatumaliza...wanandege za kivita za kisasa.