Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

Vijana waliopita jkt Huwa wanasema makamanda wa huko huwa wanawaaminisha kuwa wao ni wa kubwa mbele ya polisi Kwa kila kitu.Kiufupi viongozi wao huwa wanawapotosha sana kiasi kwamba mwanajeshi akiwa Hana akili ya kujiongeza unaweza kweli kufanya ujinga kama aliyofanya huyo
 
I think the police should understand that they are not equals with the military in any form... Confusing these roles only breeds tension and disrespect.
Wewe jamaa yangu siku za hivi karibuni umeharibika sana haukuwa hivi kaka .
Sasa hivi ni mbinafsi unatumia lugha ambazo sisi wafuatiliaji wako hazitupendezi maana hatuzielewi vyema ila anyway uamzi upo kwako ufukuze followers au uendelee kuwaweka karibu na wewe
 
Kwenye hizi ajira kuna kitu kinaitwa umahiri na ubobevu wa kazi. Hapo askari polisi itakuwa pamoja na kuonekana paka ila huwa anajiweka fit kama chui. Na huyo mjeshi japo anaonekana kama chui ila ana mentality ya paka, ndo maana amepigika.

Hilo ni funzo ambalo kila siku huwa ninalo. Ukiwa kwenye kazi yeyote ya ajira, always, kuwa mahiri na mbobevu wa kazi yako, matter what.
 
Wangeuana kabisa hao takataka, hawakuwa na bunduki? Au bunduki ni kwa ajili ya waandamanaji tuu
 
laana ya jwtz kuwasaliti wananchi na kuungana na genge la wauaji itawatesa sana,.

angefirwa hadharani ningefurahi sana, nawapongeza wananchi kwa kuangalia tu show.
Hataree sana🤣🤣🤣😁😁😁
 
Watajijua wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…