Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

Ndio maana M23 kule Kongo ilikuwa inawarapua kama paka kwa kuwashika kichwani huku wakitii bila shuruti. Juzi kati walijimwambia tuko nyuma ya raia, Mafele katuma vijana watano tu wakatia kwenzi moja moja tu wakapoteana na raia wakapata walichostahili.
 
Kuna Mzee mmoja mstaafu, aliniambia Sasa hivi JWTZ hawawezi hata kupiga Uganda Tena...
Akaniambia Ukitoa DRC, Msumbiji, Burundi na Malawi...Nchi nyingine zilizo karibu na Tanzania Zina uwezo mkubwa wa mazoezi pamoja na uwezo wa kupambana na JWTZ na wakakimbia
Hatuwezi hata kupambana na Ethiopia...watatumaliza...wanandege za kivita za kisasa...huku JWTZ ni kuweka siasa mbele tuu
 
Wanajeshi hawa nimewadharau sana kuanzia oktoba 29 ni wachumba tuu kumbe wanalindwa na gwanda tuu na kutishia raia wasio jua hata kutumia manati ni wapuuzi tu hawa si msaada kwa taifa.
 
JWTZ imedharaulika sana wakati huu.. kuanzia Wananchi, majeshi mengine, mpaka Wanasiasa.. Wote wanalidharau sana Jeshi letu la Ulinzi..

Hii siyo sawa kabisa..
NAKUUNGA MKONO. Na huo ndio ukweli kwa sasa. Kijana mmoja alikuwa anajigamba kabisa. "hawa bakabaka hamna kitu, alikuja mmoja tukamkalisha" NB. Wanajeshi wetu hawapaswi kuvunjiwa heshima namna hii. WAHESHIMIWE.
 
Mapanzi wawili wanapomenyana, furaha kwa kunguru!

Kwahiyo hapo raia walikuwa wanafurahia show ya hao panzi wawili!!
 
Kumbe nawewe ulikuwepo boss, kuna wana niliona wanarekodi kwa raha zao.
 
Ngoja ni copy huu ung'eng'e nita utumia siku moja wallahi
Mdogo wangu na wewe umeanza kufuata nyayo zangu ? Nafurahi sana mpe hi braza Kiranga mwambie sasa naletewa mpaka maproposal ya serikali za kingereza na waraka mbalimbali na watendaji wa vijiji na kata ili niwatafsirie na mimi nakimbilia kwa kaka Al japo naye muongo muongo ila napambana naye hivyo hivyo na kiswahili chake cha kufikia
 
Amezoea kuvunja tofali za unga wa muhogo huyo. Kakutana na ngumi laivu pua ikamwaga oil.

Zama hizi hata tukipata mechi ya kirafiki na Malawi, wana wanavua gwanda na kukimbilia Kenya sambamba na raia.
 
Halafu hawa ndio waliaminiwa kuwalinda waandamanaji?

Hapa kuna la kujifunza. Waandamanaji msiwaamini tena hawa washikaji kwani huenda hawajui hata kutumia bunduki zaidi ya toy pale kwenye show za kuvunja tofali za unga wa muhogo.
 
Wachumba tu wote ukiondoa kutumia bunduki police na wanajeshi wa tanzania wa miaka hii wote wachumba tu na mashoga

Kama wanabisha jitokezeni twende Taifa pale tuweke mapambano ya raia na wao!!
Mkuu Jeshi linawandikisha Vijana wa hovyo na Mashoga, Vijana wenye sifa wanaachwa, kuna siku niliwaona Wanajeshi wanafanya mazoezi ya kutembea yani % 95 hawana sifa za kuwa Wanajeshi na wana Miili midogo wafupi sana, yani Polisi na Magereza wana miili mizuri kushinda JWTZ, JWTZ limeingiliwana Waswahili hakuna tena Jeshi
 
Hii hadithi inatufundisha nini?
 
Ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…