Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

Nimeskitika sn kwamba hawajauana daaah, hivi raia kwann hamkutoa msaada hao wapumbavu wauane yaan namaanisha mngehakiksha yanauana haya masengerema.
 
Mbwa kala mbwa!
 
Acha warembo wanyooshane
 
Wamewakusanya watoto kutoka UVCCM na kuwavika sare ya JWTZ!!
 
Nimeskitika sn kwamba hawajauana daaah, hivi raia kwann hamkutoa msaada hao wapumbavu wauane yaan namaanisha mngehakiksha yanauana haya masengerema.
Hapo ilipaswa kila mmoja raia wawakadhi kila mmoja kisu ili mpambano unoge.
 
Askari polisi yupo kazini,halafu kasukumwa tena kaanguka ,akaamka kisha akajitetea. Sasa tena huyohuyo eti achukuliwe hatua. Ni sawa kweli hiyo ?
 
Ethiopia...watatumaliza...wanandege za kivita za kisasa.
Mkuu Ethiopia umeenda mbali sana πŸ˜œπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, watu wanawaza kupeleka vifaa mwezini sisi bado tunavunja matofali na vichwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vijana wachache walioingizwa kwenye majeshi kwa vimemo wengi ni vilaza, ila kuna wanajeshi asee hao sijui wapo vikosi gani wale jamaa ni zaidi ya mazombi wana wambuzi huo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„, niliwaona CDF alipokuwa tabora niishie hapo kwa leo
 
Hili la raia kuuawa hadhari bila JW kuwapigania sijui ifanyike nini kurudisha imani ya wananchi kwa jeshi lao. Nchi hii tunu ya sifa yetu kokote kifua mbele ilikuwa ni JW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…