Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
6F715BA4-5B1A-4D7A-89BC-5347807EB434.jpeg

Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya

Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya

Pia soma
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
Hakika siasa za Tanzania ni za kustabisha sana. Rais samia alitangaza kuwa mikutano ya hadhara bado ni marufuku isipo kuwa mikutano ya ndani.Ccm ambacho ni chama cha rais samia viongozi wake wamekuwa wanazunguka nchi nzima wakifanya hiyo mikutano ya hadhara iliyokatwaza lakini hatuoni polisi kuwakamata zaidi ya kuwalinda. Chadema wametii agizo la rais samia na kuamua kufanya mikutano ya ndani.

Leo huko Mwanza rpc amewazuia kufanya mkutano wa ndani na kuwakamata mkutano ambao ndio ulio ruhusiwa na rais samia.

Tunaiomba serikali itende haki kwa vyama vyote na jeshi la polisi liache kusababisha uvunjifu wa amani kwa wananchi usio na sababu kwani mkutano wa ndani ungesababisha nini?

Shaka katibu wa uenezi wa ccm akihutubia wananchi huko rukwa katika mkutano wa hadhara mikutano iliyozuiliwa lakini polisi walimlinda badala ya kumkamata.

JamiiForums-1005591240.jpg
 
Back
Top Bottom