Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

8860003675.jpg
 
Hakika siasa za tanzania ni za kustabisha sana.Rais samia alitangaza kuwa mikutano ya hadhara ba
Naomba nikusahihishe. Mikutano ya hadhara haijazuiliwa ni kama Alivyowahi sema Magufuli. Kama unamkutano wa hadhara fanyia jimboni kwako.

Kama CHADEMA sehemu ambayo wako huru kufanya mkutano wa hadhara ni Nkasi Kaskazini pekee kwa jimbo. Na kama kuna kata ambazo walishinda wakati wa uchaguzi.
Vinginevyo ni mikutano ya ndani tu.

CCM wanafanya mikutano ya hadhara kwa sababu almost majimbo yote ni yao.
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Anzia hapo nyuma ya keyboard unazoandikia maana huwezi kuandamana barabarani kama we ni mwanaume kweli anza kuandamana na usipoandamana wewe ni wa kike tena malaya
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Upo tayari kuhumili vile virungu lakini😂😂
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Hakuna mtz anaweza ingia barabarani, tozo tu watu wapo kimya
 
Walikua na kibali?

Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Actually makongamano na mikutano ni haki ya kikatiba, bila kibali.

Kuna utaratibu wa kutoa taarifa polisi kama unahitaji ulinzi wa polisi.

Ukianza kuweka habari za vibali unaanza kuiminya haki ya kikatiba.
 
Naomba nikusahihishe. Mikutano ya hadhara haijazuiliwa ni kama Alivyowahi sema Magufuli. Kama unamkutano wa hadhara fanyia jimboni kwako.
Kama CHADEMA sehemu ambayo wako huru kufanya mkutano wa hadhara ni Nkasi Kaskazini pekee kwa jimbo. Na kama kuna kata ambazo walishinda wakati wa uchaguzi.
Vinginevyo ni mikutano ya ndani tu.

CCM wanafanya mikutano ya hadhara kwa sababu almost majimbo yote ni yao.
Watakuja kuelewa tu tatizo hata huyo mbunge wao wa nkasi hawamtambui sijui wanataka wakaweke mikutano jimboni kwa nani
 
Hakika siasa za tanzania ni za kustabisha sana.Rais samia alitangaza kuwa mikutano ya hadhara bado ni marufuku isipo kuwa mikutano ya ndani.Ccm ambacho ni chama cha rais samia viongozi wake wamekuwa wanazunguka nchi nzima wakifanya hiyo mikutano ya hadhara iliyokatwaza lakini hatuoni polisi kuwakamata zaidi ya kuwalinda. Chadema wametii agizo la rais samia na kuamua kufanya mikutano ya ndani.

Leo huko Mwanza rpc amewazuia kufanya mkutano wa ndani na kuwakamata mkutano ambao ndio ulio ruhusiwa na rais samia.

Tunaiomba serikali itende haki kwa vyama vyote na jeshi la polisi liache kusababisha uvunjifu wa amani kwa wananchi usio na sababu kwani mkutano wa ndani ungesababisha nini?

Shaka katibu wa uenezi wa ccm akihutubia wananchi huko rukwa katika mkutano wa hadhara mikutano iliyozuiliwa lakini polisi walimlinda badala ya kumkamata.

View attachment 1856804
Ndip maana tunaitaka Katiba mpya ili iweze kukomesha huu uhuni.
 
Back
Top Bottom