Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mbowe yuko Tayari. Nitamuunga mkono.
Na kipindi hicho nilikuwa mjinga kama wewe, sasa nimeelimika. Karibu tudai haki yetu. [emoji58]
haki gani unayoidai wewe mburula ukiambiwa hebu nitajie haki ambayo huipati sasa unayoidai kama huji hata unachokidai kakojoe ukalale mapemaaaa tuache wanaume tujadiri
 
haki gani unayoidai wewe mburula ukiambiwa hebu nitajie haki ambayo huipati sasa unayoidai kama huji hata unachokidai kakojoe ukalale mapemaaaa tuache wanaume tujadiri
Unajadili nini. Umejaa matusi kama umeoza ubongo.

Haki ziko nyingi ewe zezeta. Usie tumia ubongo katika kufikiri. Umeshikiwa akili.
Tumia akili katika kupambanua mambo. Acha kujipendekeza kwa watawala dhalimu.
 
Vyama vya siasa havikusajiliwa kufanya siasa kimafungu.nivyama vinatambulika kitaifa na wananchi wapo popote nchini.
Tanzania haina tabia ya uchochezi,ila tukienda kwa mfumo huu ni bora kuishi kama hatuna katiba
Mimi nimejibu kulingana na niliemqoute. Alichokuwa anazungumzia au kulalamikia.
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Watu hawawezi kuandamana kwasababu za kisiasa. Jifunzeni sehemu zote ambazo maandamano yalishafanyika, unless hizo siasa zihusushe makabila au dini.

Migomo yote inayofanikiwa nchi hii haijawahi kuanzishwa na wanasiasa, mara nyingi ni wananchi wenyewe. Mifano ni Wavuvi, madaktari, wafanyabiashara, madereva wa daladala n.k.
 
haki gani unayoidai wewe mburula ukiambiwa hebu nitajie haki ambayo huipati sasa unayoidai kama huji hata unachokidai kakojoe ukalale mapemaaaa tuache wanaume tujadiri
Mimba yako ilitungwa baba yako akiwa mlevi! Unamuitaje MTU mbulula nawakati haumfahamu? Kila mtanzania ana haki ya kuheshimiwa
 
Watu hawawezi kuandamana kwasababu za kisiasa. Jifunzeni sehemu zote ambazo maandamano yalishafanyika, unless hizo siasa zihusushe makabila au dini.

Migomo yote inayofanikiwa nchi hii haijawahi kuanzishwa na wanasiasa, mara nyingi ni wananchi wenyewe. Mifano ni Wavuvi, madaktari, wafanyabiashara, madereva wa daladala n.k.
Kwa hiyo nini kifanyike.
Niende pekee anga Barabarani.?
 
Hili tukio la watu kuzuiliwa kujadili Katiba Isije ikawa ni mwanzo wa watu kutamani kuingia barabarani kukinukisha kama kule South Afrika
 
Taarifa ya polisi ni kwa minajili ya kupewa ulinzi wa polisi.

Kama huna haja ya ulinzi wa polisi, hususan kama hutumii public grounds, hata taarifa ya polisi si lazima.

Ila, kibongobongo hiyo taarifa ya polisi ndiyo imefanywa kama kuomba kibali cha polisi. Kitu ambacho kisheria hakipo na kinaondoa haki ya kikatiba.

Polisi wanatoa ulinzi pale wanapojihakikishia jambo halina madhara wala athari kwa wenye jambo lao au jamii. Hawawezi ona usalama wa jambo haupo halafu wakaruhusu lifanyike na wao wakapeleka ulinzi
 
Back
Top Bottom