Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Jichome moto kama yule wa Morocco halafu sisi tuliobaki tutaandamana🤣Mimi niko Tayari, [emoji58][emoji112]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichome moto kama yule wa Morocco halafu sisi tuliobaki tutaandamana🤣Mimi niko Tayari, [emoji58][emoji112]
Jamaa hawajitambui hawa....MATAGA na Sukuma Gang wanakomeshwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana.Wataingia kama tuu wataona hali hatarishi kwa wahusika au jamii
Usalama wa raia
Ndio kilichobaki.Jichome moto kama yule wa Morocco halafu sisi tuliobaki tutaandamana[emoji1787]
Wenye akili za namna hiyo siku ya siku ,isitokee ukaja kulialia hapa,kwani kwa kawaida mtu mbinafisi anawaza kuwaza kuwamaisha hayata badilika na yatafanana siku zote, kwakuwa anaona manufaa ya sasa , na uhakika wa Maisha yake, kwakawaida binadamu ni muungwana ila ukatili anafunzwa na wengine.Polisi wanatoa ulinzi pale wanapojihakikishia jambo halina madhara wala athari kwa wenye jambo lao au jamii. Hawawezi ona usalama wa jambo haupo halafu wakaruhusu lifanyike na wao wakapeleka ulinzi
Mikutano ya HADHARA IMEZUILIWA lakini CCM wanafanya
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Hapa shida sio Rais.Hapana.
Tanzania polisi inatumika kisiasa.
Wameingia kwa sababu rais kasema, kinyume na katiba, kwamba mijadala ya katiba isimamishwe nchi itengeneze uchumi. Bila kutoa timeline wala metrics.
Rais kavunja katiba kwa kujipa nguvu ambazo hana na kukatqza mijadala ya katiba, kitu ambqcho ni haki za kikatiba.
Na hawa mbwa wake wanaoitwa polisi wanataka kuonekana wanafuata amri ya mkubwa wao tu, bila kujali katiba.
Kauli za kishujaa kama Never and Never again, Hatutakubali tena, Tunashinikiza ndio zinasababisha wanajilinda na kutaka kuonesha Umwamba kwamba wana uwezo wa kufanya chochote na huna uwezo wa kuwafanya chochote.Hapa shida sio Rais.
Hata zamani tuliaminishwa kwamba shida ni Magufuli.
Leo Magufuli hayupo, amekuja Samia — Na yeye anaendelea kuupiga mwingi vile vile (kwa kadiri ya msemo wa nyumbu).
Hapa shida ni kubwa kuliko Rais. Ni mfumo wa kipolisi ulioundwa kulinda madaraka ya watawala na cabals.
Msipojua tatizo ni nini, mtakuwa mnapigana na watu ambao hata hawahusiki.
Huyo Samia ni kivuli tu pale.
Leteni michangoHaya faster, twende Twitter kupush hashtags.
#FreeLwaitama
#FreeMwamakula 🤣🤣
Mama a aupiga mwingiHivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Wewe umefanya nini,Hadi sasa zaidi ya kuwaimbia mapambio hao waajiri wako hapo mtaa wa kijani.Na kuwaachia akili hapo kunako geti la kuingia hapo.Kauli kama Never and Never again, Hatutakubali tena, Tunashinikiza ndio zinasababisha wanajilinda.
Cha kushangaza watu wanatoa hizo kauli halafu wanabaki kulia lia kama mbwa koko badala ya ku-take action.
Dr phd anakamatwa na form failure mwenye vyeti feki policcm too too too too timing borm
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Sema fisi wamevamia raia wazalendo.Duh! hii breaking news nilijua waziri amefariki!
Kumbe ni nyumbu zimekamatwa hapo mwanza?
Mimi sina cha kufanya ndio maana sioneshi kama naweza kufanya chochote.Wewe umefanya nini,Hadi sasa zaidi ya kuwaimbia mapambio hao waajiri wako hapo mtaa wa kijani.Na kuwaachia akili hapo kunako geti la kuingia hapo.
Anawakomesha MATAGA na SUKUMA GANG. [emoji58][emoji112]Mama a aupiga mwingi
Inawezekana pia ikawa shida ni mfumo na shida ni rais.Hapa shida sio Rais.
Hata zamani tuliaminishwa kwamba shida ni Magufuli.
Leo Magufuli hayupo, amekuja Samia — Na yeye anaendelea kuupiga mwingi vile vile (kwa kadiri ya msemo wa nyumbu).
Hapa shida ni kubwa kuliko Rais. Ni mfumo wa kipolisi ulioundwa kulinda madaraka ya watawala na cabals.
Msipojua tatizo ni nini, mtakuwa mnapigana na watu ambao hata hawahusiki.
Huyo Samia ni kivuli tu pale.