Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Naomba nikusahihishe. Mikutano ya hadhara haijazuiliwa ni kama Alivyowahi sema Magufuli. Kama unamkutano wa hadhara fanyia jimboni kwako.

Kama CHADEMA sehemu ambayo wako huru kufanya mkutano wa hadhara ni Nkasi Kaskazini pekee kwa jimbo. Na kama kuna kata ambazo walishinda wakati wa uchaguzi.
Vinginevyo ni mikutano ya ndani tu.

CCM wanafanya mikutano ya hadhara kwa sababu almost majimbo yote ni yao.
Mkuu akili yako mixer kinyesi
 
Ndip maana tunaitaka Katiba mpya ili iweze kukomesha huu uhuni.
Hamuwezi ipata sababu hawatakaa wawape wao wananufaika na huo uhuni! Maamuzi ya kiume ni kuputa mchanga na kukiwasha tu kama Mwembe chai😅😅😅 mwaka 1996
 
Vijana wana cha kujifunza kutoka kwa hawa Wazalendo Dr. Lwaitama na huyo Askofu Mwamakula!

Katiba Mpya ndiyo mwarobaini wa huu upuuzi wa kila aina tunaofanyiwa na ccm wakishirikiana na mipoliccm.
 
Back
Top Bottom