Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Uaskofu umekuwa uanasiasa
Mbona Askofu Desmond Tutu alipopigania haki Afrika ya Kusini hamkusema hivyo? Abel Muzorowa pia alikuwa na ruhusa ya kuzungumza na kupigania haki huko South Rhodesia ya Ian Smith.

Angalau Makaburu waliruhusu Maaskofu kuzungumzia upatikanaji a katiba mpya isiyotenga watu. Serikali ya CCM inaogopa hata kongamano tu? Shame on them.
 
Mungu anasikia. Kabla ya 17 March 2021, mlisema dua la kuku. Utakuwa na roho ya shetani tu kushabikia uonevu na udhalimu. Kama una roho ya Mungu lazima udhalimu ukuumize. Jipime.
Mmeanza kumgeuka tena na mama jamani😅😅😅
 
Hilo linakufurahishaje kama wewe si shetani?
Hamna ubavu huo, hivi, umefatilia habari za South Africa karibuni? Wamesimamisha kila kitu kwa mda! Lakini serikali ilipo amua kweli, kiko wapi? Sembuse nyinyi ambao mko wachache, mtaweza? Mtapigwa kama mbwa koko.
 
Walikua na kibali?

Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Kibali? You seem to be one of the imbeciles around! Hili ni koloni au taifa huru? Hujui kuwa Uhuru wa raia kukutana uko ndani ya Katiba Ya sasa licha ya mapungufu yake?!
 
Hamna ubavu huo, hivi, umefatilia habari za South Africa karibuni? Wamesimamisha kila kitu kwa mda! Lakini serikali ilipo amua kweli, kiko wapi? Sembuse nyinyi ambao mko wachache, mtaweza? Mtapigwa kama mbwa koko.
Ni heri iwe hivyo [emoji58]
 
Alaaah! Mi nilijua nyie wafuasi wa wahuni hamkatwi
Mimi ni mfuasi wa haki za kibinadamu na kiutu.

Siwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa tajiri msaka madaraka.

Nioneshe mwanasiasa masikini.

Vinginevyo subiri nishibe kwanza na mimi ili tuwe LEVEL moja.
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Peleka ujinga wako, unajua athari za kupoteza amani uliyonayo kwaaji ya wapuuzi wachache wenye tamaa za binafsi.
 
Peleka ujinga wako, unajua athari za kupoteza amani uliyonayo kwaaji ya wapuuzi wachache wenye tamaa za binafsi.
Si bora ipotee tu hii amani kama hatuheshimiani. Amani ya kitu gani.

Unaishi maisha ya kifukara.. uendelee tu kisa kuna Amani.
 
Mungu anasikia. Kabla ya 17 March 2021, mlisema dua la kuku. Utakuwa na roho ya shetani tu kushabikia uonevu na udhalimu. Kama una roho ya Mungu lazima udhalimu ukuumize. Jipime.

Japo tunammiss tunajua kifo ni faida kwa waliopendwa zaidi..... sijui wewe utaishi milele😅😅😅😅😅
 
Mimi ni mfuasi wa haki za kibinadamu na kiutu.

Siwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa tajiri msaka madaraka.

Nioneshe mwanasiasa masikini.

Vinginevyo subiri nishibe kwanza na mimi ili tuwe LEVEL moja.
Na hapa uko kwenye jukwaa la siasa?? Nenda huko we mwanalumumba fc
 
Back
Top Bottom