Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Huyo jamaa hilo kanisa lake analosimamia saa ngapi?

Tatizo mtu anajiita askofu huku anafamilia mnalichafua kanisa la asili ambalo sheria ziliwashinda mkajitoa..

Ona sasa hata dressings code yakanisa hamjui kuwa inaendana na vipindi saa.zote ameulambia hayo mannguo ya kwaresma

Watu wa mataifa wakimwona wanajumuisha na wakristu wakati matendo ya kikristu sii hayo
 
Kibali? You seem to be one of the imbeciles around! Hili ni koloni au taifa huru? Hujui kuwa Uhuru wa raia kukutana uko ndani ya Katiba Ya sasa licha ya mapungufu yake?!

Fanyeni basi bila kibali cha polisi

Sasa matusi ya nini teheteheee
 
Uwe mwelewa usiwe mwelewa pambana na hali yako.
Ukweli usio na kificho.
Wenda wapo wanaomfariji rais SSH , kwamba atumie mfumo wa mwendazake kuongoza nchi , ila wanampeleka chaka , hilo halitawezekana , na atashindwa vibaya Sana, mda ni mwalim
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
No

N sense andamana mwenyewe mid nakula bia tu
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Tanzania wengi bado ni wajinga saaana, Rais anawezaje kuzuia mikutano kinyume na katiba aliyoiapa?
Kauli ya Rais sio sheria
Kuna hii hapa naupenda Sana
Wakolosai 1:13
Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo ambaye katka yeye tuna ukombozi msamaha wa dhambi
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Kwahiyo unataka kuleta machafuko??

Hizi chokochoko jamani tuzikemee

Jumbe Brown
 
Hi katiba tu iliklyoko inakanywagwa vibaya mno hkn anae lalamika Sasa hyo mpya itakuaje ikiwa ya sas tu yenywe inafurugwa
 
Watawala wetu wana hofu sana, suala la Katiba Mpya haliepukiki tena. Kuzuia Kongamano bado hakufifishi madai ya Katiba Mpya, zaidi imeongeza hamasa na wigo wa makundi ya kudai hitaji hilo
 
Hakika siasa za Tanzania ni za kustabisha sana. Rais samia alitangaza kuwa mikutano ya hadhara bado ni marufuku isipo kuwa mikutano ya ndani.Ccm ambacho ni chama cha rais samia viongozi wake wamekuwa wanazunguka nchi nzima wakifanya hiyo mikutano ya hadhara iliyokatwaza lakini hatuoni polisi kuwakamata zaidi ya kuwalinda. Chadema wametii agizo la rais samia na kuamua kufanya mikutano ya ndani.

Leo huko Mwanza rpc amewazuia kufanya mkutano wa ndani na kuwakamata mkutano ambao ndio ulio ruhusiwa na rais samia.

Tunaiomba serikali itende haki kwa vyama vyote na jeshi la polisi liache kusababisha uvunjifu wa amani kwa wananchi usio na sababu kwani mkutano wa ndani ungesababisha nini?

Shaka katibu wa uenezi wa ccm akihutubia wananchi huko rukwa katika mkutano wa hadhara mikutano iliyozuiliwa lakini polisi walimlinda badala ya kumkamata.

View attachment 1856804
Nyinyi mlisema mtamlazimisha Mama kuhusu katiba mpya. Haya mlazimisheni sasa
 
Walikua na kibali?

Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Haihitaji kibali kukusanyika ndani ya ukumbi hivi mkiwa na kikao cha ukoo au tambiko mnaomba kibali?
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Tukutane posta j3
 
Back
Top Bottom