wabongo mkisikia swala la kodi moja kwa moja mnajua kodi ya mapato ya TRA wale wamepanga pale rock city mall inawezekana hawalipi kodi ya pango na ushuru mwingne ambao uko chini ya halmashauriHaya
Kwa nini asiwe na akili?Huyo mwenye hiyo bar hana akili au anajuwa anachokifanya.
Unajua hali halisi ila unajitoa ufahamu.Kwa nini asiwe na akili?
Kuna sheria gani iliyovunjwa katika tukio hilo?
Na hata ingekuwa sheria imevunjwa, kwa nini ihusishwe na mambo ya siasa na hukumu itolewe kisiasa?
Inaonyesha wazi wew ndiye uliyepungukiwa akili.
Za kwako hazitofautiani hata kidogo na za yule mama unayetumia jina lake.Unajua hali halisi ila unajitoa ufahamu.
rais wa mawe na madaraja............upcoming Jiwe blessingsMwigulu nchemba si alisema hakuna kufunga biashara? Sasa mtu anafungiwa biashara kwa kukwepa kodi sasa kwanini asilioishwe faini? Au kuna zaidi ya hili?
π π π π π Tunatafuta fedha za kumlipa Yap MarkezMwigulu nchemba si alisema hakuna kufunga biashara? Sasa mtu anafungiwa biashara kwa kukwepa kodi sasa kwanini asilioishwe faini? Au kuna zaidi ya hili?
Acha uchawa THE CASK haiwezi kushindwa kulipa hela ya pango! Kwanza hakuna utaratibu kama huo wa kufunga biashara ya mtu bila kutoa taarifa kwa mhusika! Na kwa nini ije sasa hivi baada ya kuonekana kwa ile Video? Nyinyi mchawa mda mwingine mnakosa hata akili!toka lini mkurugenzi akakusanya kodi ya TRA iyo kodi ni kodi ya pango wale wamepanga pale rock city mall mali ya halmashauri
Kukosa leseni kwa miaka miwili hilo ni uongo , Ushahidi huu hapaSerikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili.
Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha biashara zaidi ya moja eneo hilo hilo.
Akizungumza katika eneo hilo la Bar Mkurugenzi wa llemela, Kiomoni Kibamba amesema mmiliki wake amekiuka masharti ya uendeshaji wa biasharaikiwemo kukosa leseni ya biashara kwa kipindi cha miaka miwili.
Pia soma:
- Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari
Katamka chawa mmoja, mama aanze kuoga na kufua maana uchafu umezidi!Dah huvi vitu Dkt Samia hapendi kabisa kuvisikia ila inasikitisha
Ndio kijiwe cha mwigulu,kigwa,msukuma wakiwa mwanza....joel ni ccm damu watayamalizaChadema wamemponza ndg Joe Makanyaga
Mwambieni mmiliki apandishe hii bendera ya chama hapo bar figisu za machawa zitaishaSerikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili.
Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha biashara zaidi ya moja eneo hilo hilo.
Akizungumza katika eneo hilo la Bar Mkurugenzi wa llemela, Kiomoni Kibamba amesema mmiliki wake amekiuka masharti ya uendeshaji wa biasharaikiwemo kukosa leseni ya biashara kwa kipindi cha miaka miwili.
Pia soma:
- Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari