Mkurugenzi wa Ilemela amejitoa kafara kwa kukiuka maelekezo ya Rais kwamba biashara zisifungwe; huyu mkurugenzi ni moja ya watu wanaoishi katika utawala uliopita. Kukiuka kauli ya mwenye nchi ni dharau na natabiri soon anatumbuliwa.
Kelele na agenda za kelele zimekuwa nyingi na zote zina economic impact ndani na nje. Kufunga biashara moja over night ni tishio kubwa kwa uhakika wa mitaji na usalama wa biashara za wageni. Wageni wataanza kuweka fedha kwenye mifuko wavuke nazo mipaka huku Watanzania wakiweka pesa nyumbani kukwepa kuonekana akaunti inenuna ukafungiwa business
Hii Cask Bar inakwenda kuondoka na RC, DC na Mkurugenzi only if siyo msimamo wa serikali.