Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

Mwenye CASK amejitakia. Yeye anajijua ni mfanyabiashara ila kwa upumbavu wake karuhusu siasa za CHADEMA kwenye biashara. Najua bar itafunguliwa na yeye atakuwa kapata somo kwa vitendo kutochanganya biashara na siasa za kipumbavu. TRA ikisema iwakazie wafanyabiashara wote kuhusu madeni yao ya kodi basi mjini zitasalia biashara chache. Wengi mnaosema kaonewa ni wanafiki na huwezi kukuta kwenye biashara zenu kuna siasa.
Cask itarudi hewani soon

Kwa wanaomjua makanyaga

Hilo haliwapi shida,hicho kijiwe chenyewe makala anakikubali
Ukitaka jiji la mwanza lipoe
We iondoe the cask
Hiyo ni kasoro ndogo tu ilijitokeza

Ova
 
Cask itarudi hewani soon

Kwa wanaomjua makanyaga

Hilo haliwapi shida,hicho kijiwe chenyewe makala anakikubali
Ukitaka jiji la mwanza lipoe
We iondoe the cask
Hiyo ni kasoro ndogo tu ilijitokeza

Ova
Bar itarudi ila na yeye hatakaa akubali upuuzi wa wanasiasa kwenye bar yake. Hata mimi Cask naikubali hatari. Nikiendaga Mwanza lazima niende Cask na kuna Bar iko kona ya Bwiru.
 
Bar itarudi ila na yeye hatakaa akubali upuuzi wa wanasiasa kwenye bar yake. Hata mimi Cask naikubali hatari. Nikiendaga Mwanza lazima niende Cask na kuna Bar iko kona ya Bwiru.
Cask wana samaki watamu balaa...

Ile ya kona ya Bwiru ni Diamond, ni ya kitambo hiyo.. ila kila leo utadhani mpya..
 
Mwigulu nchemba si alisema hakuna kufunga biashara? Sasa mtu anafungiwa biashara kwa kukwepa kodi sasa kwanini asilioishwe faini? Au kuna zaidi ya hili?
[emoji1787][emoji1787]

TRA na halimashauri wanasahau kua wafanya biashara ndio wateja wao
 
Nadhani wakati anaruhusu watu wake wafanye hayo atakua alijiandaa na yatakayojiri baada ya hapo.Akavue dagaa
Tatizo liko wapi kwa mwenye bar au hata huyo aliyeandika hilo bango?

Shida iko kwetu raia kutojua haki zetu za msingi na kuona anayefanya lolote kukosoa mamlaka ni mjinga. Tumehalalisha kuwa kuonewa na wenye mamlaka ni haki yetu.

Hii ni hulka mbaya sana.
 
suala siyo bora mama. Huyu rais kiwango chake cha uongozi kipo juu sana zaidi ya mara 10 ya marais waliopita, amefanya mambo makubwa sana ktk muda mfupi na ana mipango mikubwa sana ya maendeleo na nchi hii, sisi tunamwombea atimize mipango yake. Wenye wivu na husda kamwe hawatafanikiwa, kimsingi wameshashindwa
Mama kaachia wataalam wafanye kaziโ€ฆ. Bahati mbaya tulizoea kiongozi ambaye ni jack of all trades

Huyu hakurupuki
 
FB_IMG_16922722958372264.jpg
 
Back
Top Bottom