Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

Dah huvi vitu Dkt Samia hapendi kabisa kuvisikia ila inasikitisha
Acha ujinga hapendi kusikia nini? Bariadi kuna kijana yuko jela kwa kumkosoa pia chato kuna jamaa mwimbaji wa nyimbo za asili yuko jela kwa kumkosoa! Slaa,Mwambukusi,Mdude na Leo Cask Bar ameifunga! Unafiki na roho mbaya sana nyie CCM!
 
Kuna video inazunguka sana mitandaoni ikionyesha jamaa mmoja akiwa anapiga gambe huku kwenye mbao ya matangazo ya bar aliyopo ukipita ujumbe wa kuuzwa bandari

Bar hiyo inaitwa the cask na ipo Ilemela Mwanza; bar hiyo imefungiwa kwa tuhuma za kukwepa kodi na kufanya biashara zaidi ya moja. Tunajiuliza:

1. Tumeanza tena kufungia watu biashara pale wanapofanya kinyume na mtizamo wetu?

2.Je lile tangazo lenye context ya bandari linareflect jinai?

3. Kufungwa kwa bar halmashauri haipotezi mapato?

4.Nani mwenye dhamana ya kufunga biashara NCHINI? Kila kiongozi akiamua kufunga biashara kumbe bado ana mamlaka?

5. Ni nani atawaakikishia wawekezaji kwamba biashara zao kama wageni zipo salama?
 
Kuna video inazunguka sana mitandaoni ikionyesha jamaa mmoja akiwa anapiga gambe huku kwenye mbao ya matangazo ya bar aliyopo ukipita ujumbe wa kuuzwa bandari

Bar hiyo inaitwa the cask na ipo Ilemela Mwanza; bar hiyo imefungiwa kwa tuhuma za kukwepa kodi na kufanya biashara zaidi ya moja. Tunajiuliza

Mama anaupiga mwingi mpk unamwagika
 
Kwahiyo haijauzwa? Au imeuzwa kinyemelea na wanaukoo hawatakiwi kujua imeuzwa?

BANDARI zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.

Kuuziwa bandari zetu ni sawa na kununua kiwanja ufukweni Bahari ikiwa matembezi.

Pia, kuuziwa bandari ni sawa na kununua upupu na kujipaka ukidhani ni PAWDER!!!

Epuka matapeli🙏🙏🙏
 
Kuna video inazunguka sana mitandaoni ikionyesha jamaa mmoja akiwa anapiga gambe huku kwenye mbao ya matangazo ya bar aliyopo ukipita ujumbe wa kuuzwa bandari

Bar hiyo inaitwa the cask na ipo Ilemela Mwanza; bar hiyo imefungiwa kwa tuhuma za kukwepa kodi na kufanya biashara zaidi ya moja. Tunajiuliza
1. Tumeanza tena kufungia watu biashara pale wanapofanya kinyume na mtizamo wetu?
2.Je lile tangazo lenye context ya bandari linareflect jinai?
3. Kufungwa kwa bar halmashauri haipotezi mapato?
4.Nani mwenye dhamana ya kufunga biashara NCHINI? Kila kiongozi akiamua kufunga biashara kumbe bado ana mamlaka?
5. Ni nani atawaakikishia wawekezaji kwamba biashara zao kama wageni zipo salama?
Hahahahaha
Tanzania yangu ina vituko balaa
 
Nadhani wakati anaruhusu watu wake wafanye hayo atakua alijiandaa na yatakayojiri baada ya hapo.Akavue dagaa
 
Kuna video inazunguka sana mitandaoni ikionyesha jamaa mmoja akiwa anapiga gambe huku kwenye mbao ya matangazo ya bar aliyopo ukipita ujumbe wa kuuzwa bandari

Bar hiyo inaitwa the cask na ipo Ilemela Mwanza; bar hiyo imefungiwa kwa tuhuma za kukwepa kodi na kufanya biashara zaidi ya moja. Tunajiuliza
1. Tumeanza tena kufungia watu biashara pale wanapofanya kinyume na mtizamo wetu?
2.Je lile tangazo lenye context ya bandari linareflect jinai?
3. Kufungwa kwa bar halmashauri haipotezi mapato?
4.Nani mwenye dhamana ya kufunga biashara NCHINI? Kila kiongozi akiamua kufunga biashara kumbe bado ana mamlaka?
5. Ni nani atawaakikishia wawekezaji kwamba biashara zao kama wageni zipo salama?
Screenshot_2023-08-08-11-20-10-1.jpg
 
Mkurugenzi wa Ilemela amejitoa kafara kwa kukiuka maelekezo ya Rais kwamba biashara zisifungwe; huyu mkurugenzi ni moja ya watu wanaoishi katika utawala uliopita. Kukiuka kauli ya mwenye nchi ni dharau na natabiri soon anatumbuliwa.

Kelele na agenda za kelele zimekuwa nyingi na zote zina economic impact ndani na nje. Kufunga biashara moja over night ni tishio kubwa kwa uhakika wa mitaji na usalama wa biashara za wageni. Wageni wataanza kuweka fedha kwenye mifuko wavuke nazo mipaka huku Watanzania wakiweka pesa nyumbani kukwepa kuonekana akaunti inenuna ukafungiwa business

Hii Cask Bar inakwenda kuondoka na RC, DC na Mkurugenzi only if siyo msimamo wa serikali.
 
Back
Top Bottom