Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Sasa, zile bilioni tano, zizodumbukia kwenye akaunti ya umoja wa mashinga Tanzania, ni kwa Dar tu, au kuna nyingine itadumbukizwa tena kuwafuta machozi hawa wa Ngwanza(Mwanza) zizi(jiji)?
 
Si tulikubaliana upinzani unachelewesha maendeleo na mkachagua ccm

Kunguni kweli nyie pambaneni na Hali zenu

Tulivyowaeleza umuhimu wa upinzani mlisema upinzani umekufa Sasa utoke wapi si ulikufa .

Pumbavu zenu wote mnaotaka upinzani uwatete Sasa.
 
Yan unataka upange bidhaa barabaran kisha upinzani ukutetee!??up
You must be stupid
 
Tumeachwa Imara X 2 (kiitikio)
 
Wasubiri karibu na uchaguzi 2025 watarudishwa. Business as usual
 
Pumbavu zenu mkiambiwa msichague ccm huwa amsikii
 
Huyo mama mnaemuomba yupo kwenye kiyoyozi ndo kwanza anaongeza mbwembe kwa kuwa na msururu wa magari kwenye msafara na helicopter juu, mswahili mwenye akili ni yule mwenye njaa.
 
Hakuna namna lazime wapishe na waende sehemu walizopangiwa. Machinga ni kero sana.
 
Makoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.
Unajua pale Makoroboi ndio ilikuwa mlango mmoja ya zamani ? wangesema tuwaache kipindi kile huenda leo kungekuwa hakuna mlango mmoja..., na hawa wa sasa wasingepata sehemu sababu wa zamani wangekuwepo.... pale ndani kuna shule, msikiti na hospitali pia ni njia shortcut ya watu kupita..., kwa watu kuziba barabara hata wanunuzi kupata mahitaji inakuwa shida....

Kuwaacha wengine na wengine kuwatoa inakuwa tabu kwa wale waliokwenda mbali kupata watu..., wote wakienda huko walikopangiwa watu watawafuata tu... ukizingatia waliokwenda ni wengi kuliko waliobaki...

Ingawa suluhisho la kudumu ni kupunguza wachuuzi kwa kuwapatia shughuli nyingine za ajira na kujikimu..., wachuuzi wachache watakaobaki angalau wawe na uwezo wa kupata kafremu..., ambao hawawezi kabisa watembeze bidhaa zao au waende wanakopangiwa...
 
Kuna siku uliwasikia upinzani wakitaka machinga wafanye biashara pasipotakiwa?. Yaani wawaruhusu CCM lawama uwape upinzani?
 
Makoroboi 90s ndo mitaa yangu ya kwenda kutundua pamba enzi za t shirt jinsi na raba.Kuna t shirt iliandikwa planet hollywood naikumbuka
 
kwani ww ukipiga kelele si inatosha au mpaka mwanaume aje akutetee
acha ufala wewe
 
Enzi hizo machinga walikua wanatembeza bidhaa zao mitaani na kwa Dar kazi hii ilikua inafanywa zaidi na vijana wa kimakonde na ndio hapo lilipotoka jina hili la machinga(chinga,mmakonde)
 
Magufuri aliwakuta.
Wamachinga ni wabishi, walilemazwa na Magufuli msigina katiba. Aliwaruhusu kuzagaa mijini kinyume na sheria za mipango miji. Samia alieleza waondoke maeneo yasiyo ruhusiwa, mpaka leo mikoani hawajahama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…