Mwanza: Bwana harusi ajinyonga akisubiriwa ukumbini

Hii habari imepungua ujumbe alioacha marehemu hauja bainishwa
 
Mambo mengine yatakuwa yanaambatana na ishu za kishirikina-yaani wapendanao mnajikuta tu mnafarakana at the peak of your happiness yaani Dah 😭😭😭
Hakika kuna ushirikina sio mambo ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…