Mwanza City: The Photo Gallery

Yeah ustarabu uzingatiwe kungekua na uwezekano watu kama hao ni wakupiga spana tu
 
Soon nafungua Uzi wa Mwanza vs Arusha, watafuna mirungi mtudhihirishie maneno yenu kuwa Arusha ni bora kuliko Mwanza maana mmeanza kutuharibia Uzi wetu . wote mlioko humu nawaqoute ili huu upuuzi tuumalize
 
Katika nchi Masikini zaidi Tanzania ni:-

-Mwanza

-Mtwara

- Singida

-Kagera na

- Lindi

Hayo aliyasema Waziri mapema wiki iliyopita.
Hata wewe unaweza kusema kwani Arusha mmewahi kuisaidia mwanza chakula
 
naona michongo ya kuwahi basi enzi za utoto,nawe unajiona kama mmiliki kweli wa bus, tafuteni pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…