mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
MWANZA PAZURIIII SANAAA
Hakika kijana hii ndio zooo a.k.a rock cityMWANZA PAZURIIII SANAAA
Wa kwako uko wapi farasi wewe
Huku siku hizi pamepoa kinoma wakati kuna miradi mingi ya magorofa katikati ya jiji lakini hakuna picha nikipata muda nitaanza kutumia miradi mbalimbali sijui laizerg alipotelea wapi na wakina ngokongosha, beira boy, mapank(moses swai), sexer etcMlioko Mwanza jamani vipi humu mbona pamepoa sana!! Hakuna hata update ya construction yoyote kweli!!
Walivyozuia matumizi ya drone mpaka kibali, tunakosa mengi sana siku hizi.Huku siku hizi pamepoa kinoma wakati kuna miradi mingi ya magorofa katikati ya jiji lakini hakuna picha nikipata muda nitaanza kutumia miradi mbalimbali sijui laizerg alipotelea wapi na wakina ngokongosha, beira boy, mapank(moses swai), sexer etc
Yule drone camera hangekuwa anatupia tu maproject kibao ndo hivyo hakuna namna sasa ni kutafuta site kwenye tall buildings na kupiga picha.Walivyozuia matumizi ya drone mpaka kibali, tunakosa mengi sana siku hizi.
Kaka sisi wengine hayuko mza tunategemea mitandao, nyie mliopo huko live ndio mtu_updateHuku siku hizi pamepoa kinoma wakati kuna miradi mingi ya magorofa katikati ya jiji lakini hakuna picha nikipata muda nitaanza kutumia miradi mbalimbali sijui laizerg alipotelea wapi na wakina ngokongosha, beira boy, mapank(moses swai), sexer etc
Hawa jamaa siwaoni kwenye threads siku hizi 👐Huku siku hizi pamepoa kinoma wakati kuna miradi mingi ya magorofa katikati ya jiji lakini hakuna picha nikipata muda nitaanza kutumia miradi mbalimbali sijui laizerg alipotelea wapi na wakina ngokongosha, beira boy, mapank(moses swai), sexer etc
Binafsi sipo mwanza bila mitandao maisha hayaendi, lakini tunaamini walioko mwanza watatusaidia kutuletea projects mpya na zinazoendeleaHuku siku hizi pamepoa kinoma wakati kuna miradi mingi ya magorofa katikati ya jiji lakini hakuna picha nikipata muda nitaanza kutumia miradi mbalimbali sijui laizerg alipotelea wapi na wakina ngokongosha, beira boy, mapank(moses swai), sexer etc