Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Kushukia Nyamhongholo inategemea unatoka wapi, nilisikia stendi inafunguliwa tarehe 1 April?Halafu the same road km away unakutana na stand kubwa ya Nyamhongolo, nitafurahi sana siku narudi Mwanza nashukia stand mpya ya Nyamhongolo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Wameruhusu biashara uria, Mabasi yana uhuru wa kuchagua stand kwa mujibu wa RAS (Samike Ngusa). Ufunguzi 15/04Kushukia Nyamhongholo inategemea unatoka wapi, nilisikia stendi inafunguliwa tarehe 1 April?
Hilo ni jengo la ICE CREAM CENTRE La AZAM. so far Hugo ni bakhresa kivyovyoteHapo stand ya Igombe, hilo jengo la Orange na blue huwa nasikia ni plot ya Bakhresa
Pia Buzuruga na Nyegezi.mdogo mdogo nyakato itakuwa CBD nyingine ndani ya jiji, kuna project nyingi zinakuja ni suala la mda tu
Bonasera hotel/restaurant.View attachment 2174872capri point
Zinaendelea👇👇Japo nilipata vizingiti kutoka kwa mmiliki wa hii hotel inayojengwa na tajiri wa MS COMPANY(Mwanza steel) jijini Mwanza, nilibahatika kupiga picha baadhi.👇👇
View attachment 2177553
View attachment 2177554
Maeneo gani?Kwenye pita pita zangu nikakutana na mjengo wa mh mbunge King Musukuma[emoji116]
View attachment 2177574
Maeneo gani?
Kazi inapigwa sio michezo
Hili kitakuwa lile dude lililodizainiwa na savannah engineering naona show ya mbele kama inaelekea kufananaJapo nilipata vizingiti kutoka kwa mmiliki wa hii hotel inayojengwa na tajiri wa MS COMPANY(Mwanza steel) jijini Mwanza, nilibahatika kupiga picha baadhi.👇👇
View attachment 2177553
View attachment 2177554
Ndio hiyo hiyo ni jengo la ghorofa 8 za ngazi.Hili kitakuwa lile dude lililodizainiwa na savannah engineering naona show ya mbele kama inaelekea kufanana
Si hii hapa au nyingineNdio hiyo hiyo ni jengo la ghorofa 8 za ngazi.
Hii ni kwa chini ndo hipo hivi hila kwa juu ya huu mwonekano kuna gorofa nyingine tatu angalia zile photo vzr, total ni ghorofa nane kwenda juu.Si hii hapa au nyingineView attachment 2179757
Swimming pool haitakuwa hapo coz kwa mbele ya hilo jengo hakuna space ni mawe ndio maana wamechukua eneo lingine kubwa sana kwaajili ya parking, swimming pool, na michezo ya watoto.Si hii hapa au nyingineView attachment 2179757