Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Kushukia Nyamhongholo inategemea unatoka wapi, nilisikia stendi inafunguliwa tarehe 1 April?Halafu the same road km away unakutana na stand kubwa ya Nyamhongolo, nitafurahi sana siku narudi Mwanza nashukia stand mpya ya Nyamhongolo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]