Hii ndio ile inayoanzia ndama kwenda mahandu karibu na shule ya primary ya samia?mtaani kwetuView attachment 2409626
Hapa naona reli itakuwa chini barabara juu ..maana utatengeneza junction pale mkuyuni soko la mkulima karibu na njia ya kwenda nyakurundumaHii barabara bajeti yake ipo? Na kama ipo je ipo chini ya Tanroad au? Naje itaanza kujengwa lini? Na kwenye kupishana na reli ya sgr je wataweka daraja au flyover?
Ilemela ndio Ina barabara nyingi pia za mawe japokuwa....sera ya halmashauri mwanza cc sa hvi ni Kila mwaka wanatenga bilioni 5 au 6 Kwa ajili ya km 1 ya lami Kila barabaraNyamagana wapenzi sana wa barabara za mawe lakini ilemela wao wanaamini zaidi barabara lazima hiwe ya lami.
Mwanza kwa kazi ya majenzi yake hakuna ya kutia mguu ondoa hofu juu ya hilo, tuombe tu miradi ya tactic ikamilike mwanza ivutie zaidi na zaidi, jamani mwanza ni kuzuriiiii.Itapendeza sana! Pia pale ghana lile jengo la royal hospital usiache kutupatia update! Natamani mwanza isonge mbele daima!
Sasa mbona viaduct imeanzia mswahili adi chakechake.Hapa naona reli itakuwa chini barabara juu ..maana utatengeneza junction pale mkuyuni soko la mkulima karibu na njia ya kwenda nyakurunduma
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombea hiwe hivi asee kwasababu hakuna namna.Hapa naona reli itakuwa chini barabara juu ..maana utatengeneza junction pale mkuyuni soko la mkulima karibu na njia ya kwenda nyakurunduma
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale hayana muda trust me, ndio muonekano wa soko kwa ujumlaMbali na kutumika kibiashara soko la mjini kati litakapokamilika litakuwa kama chanzo kingine cha utalii, hili dude linavutia sana ingawa halijaisha, pia ukubwa wake hauna mfano, kingine cha kuvutia ni underground parking yenye uwezo wa kuchukua magari 192, pia na sehemu ya michezo ya watoto ikiwemo swimming pool ya juu, na kiuwanja kidogo juu cha watu kutalii wakiwa wanaangalia mandhari ya jiji.
Naiomba halmashauri pale kwenye yale maduka chakavu ya mtaa wa pamba mbele ya soko yabomolewe na eneo ilo wapande miti na kutngeneza recreational area nzuri hapo na pawepo viti vya kupumzikia sisi wa kina kitombile wazee wa kuchakata na kupigilia misumali tuwe tunapata fursa ya kupumzika na watoto wakali huku tukivuta muda wa kwenda kuzagamua[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kusema ukweli bado mi sijajua mwonekano wa soko itakuwaje ..mwenye render yake atume plizMbali na kutumika kibiashara soko la mjini kati litakapokamilika litakuwa kama chanzo kingine cha utalii, hili dude linavutia sana ingawa halijaisha, pia ukubwa wake hauna mfano, kingine cha kuvutia ni underground parking yenye uwezo wa kuchukua magari 192, pia na sehemu ya michezo ya watoto ikiwemo swimming pool ya juu, na kiuwanja kidogo juu cha watu kutalii wakiwa wanaangalia mandhari ya jiji.
Naiomba halmashauri pale kwenye yale maduka chakavu ya mtaa wa pamba mbele ya soko yabomolewe na eneo ilo wapande miti na kutngeneza recreational area nzuri hapo na pawepo viti vya kupumzikia sisi wa kina kitombile wazee wa kuchakata na kupigilia misumali tuwe tunapata fursa ya kupumzika na watoto wakali huku tukivuta muda wa kwenda kuzagamua[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Vigezo hvyo haponi wakati sasa serikali kuipandisha hadhi wilaya ya magu kuwa halmashauri ya mji sasa hv nipo magu mji umeshashikana na kahangara halmashauri ya magu inabd waitoe ile stand yao waiweke pale karibu na jengo jipya wanapojenga la halmashauri
Nilipita apo Ijumaa usiku walikua ndio wameanza upande wa kushoto ukiwa unatoka barabara kuu iko poa sana...Barabara ya kuanzia buzuruga kupitia mecco adi nyakato sokoni wameipendezesha kwa kuiwekea lami ngumu na njia ya watembea kwa miguu, kwa kweli barabara ilikuwa imechoka sana, shukurani kwa halmashauri ya ilemela, kupita tarura, pia hongera kwa mkandarasi Nyanza company hii barabara sasa ni kiwango.
Clinic maeneo gani?Kuna project ya ujenzi wa gorofa hapo mjini kati mitaa ya lumumba na sasa wapo ghorofa ya tano na huyu mkandarasi wa huu ujenzi kesho ataanza kujenga jengo la ghorofa 12 maeneo ya clinic kuna mwana humu alishapost huo mradi nikamtania, ni kweli mradi upo na ghorofa 12.
Ni mimi ulinitania si upo pale maeneo ya mataa ya neraKuna project ya ujenzi wa gorofa hapo mjini kati mitaa ya lumumba na sasa wapo ghorofa ya tano na huyu mkandarasi wa huu ujenzi kesho ataanza kujenga jengo la ghorofa 12 maeneo ya clinic kuna mwana humu alishapost huo mradi nikamtania, ni kweli mradi upo na ghorofa 12.