Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hii barabara bajeti yake ipo? Na kama ipo je ipo chini ya Tanroad au? Naje itaanza kujengwa lini? Na kwenye kupishana na reli ya sgr je wataweka daraja au flyover?
Hapa naona reli itakuwa chini barabara juu ..maana utatengeneza junction pale mkuyuni soko la mkulima karibu na njia ya kwenda nyakurunduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyamagana walipokea 5.2 bilioni za tarura.
Malengo yao ni kuendeleza zile barabara walizoishia njia, barabara hizo ni kama hile ya luchelele, barabara ya buhongwa inayoenda bulale, barabara mbili za mkolani, barabara ya mawe ilianzia ndama kuelekea mhandu, na barabara ya mawe ile ya nyashana.
 
Ilemela wanaendeleza mwendo wao mdogo mdogo kwenye barabara ya lami iliyoishia ilalila kona kwenda ilalila center adi kabusungu.
Pia barabara ya bwiru iliyoishia bwiru press adi msufini, pia wataendeleza barabara ya zege ya mecco adi kangaye🙏🙏🙏
 
Ila wakulungwa ilemela ni nzuri kuliko capripoint, ilemela kwa speed na design ya majengo yao na jinsi kasi ya majenzi ilivyokubwa na mandhari ya ziwa na fukwe za kuvutia hakika ilemela ni best place to live.
 
Itapendeza sana! Pia pale ghana lile jengo la royal hospital usiache kutupatia update! Natamani mwanza isonge mbele daima!
Mwanza kwa kazi ya majenzi yake hakuna ya kutia mguu ondoa hofu juu ya hilo, tuombe tu miradi ya tactic ikamilike mwanza ivutie zaidi na zaidi, jamani mwanza ni kuzuriiiii.
 
Mbali na kutumika kibiashara soko la mjini kati litakapokamilika litakuwa kama chanzo kingine cha utalii, hili dude linavutia sana ingawa halijaisha, pia ukubwa wake hauna mfano, kingine cha kuvutia ni underground parking yenye uwezo wa kuchukua magari 192, pia na sehemu ya michezo ya watoto ikiwemo swimming pool ya juu, na kiuwanja kidogo juu cha watu kutalii wakiwa wanaangalia mandhari ya jiji.

Naiomba halmashauri pale kwenye yale maduka chakavu ya mtaa wa pamba mbele ya soko yabomolewe na eneo ilo wapande miti na kutngeneza recreational area nzuri hapo na pawepo viti vya kupumzikia sisi wa kina kitombile wazee wa kuchakata na kupigilia misumali tuwe tunapata fursa ya kupumzika na watoto wakali huku tukivuta muda wa kwenda kuzagamua🙏🙏🙏🙏🙏
 
Mbali na kutumika kibiashara soko la mjini kati litakapokamilika litakuwa kama chanzo kingine cha utalii, hili dude linavutia sana ingawa halijaisha, pia ukubwa wake hauna mfano, kingine cha kuvutia ni underground parking yenye uwezo wa kuchukua magari 192, pia na sehemu ya michezo ya watoto ikiwemo swimming pool ya juu, na kiuwanja kidogo juu cha watu kutalii wakiwa wanaangalia mandhari ya jiji.

Naiomba halmashauri pale kwenye yale maduka chakavu ya mtaa wa pamba mbele ya soko yabomolewe na eneo ilo wapande miti na kutngeneza recreational area nzuri hapo na pawepo viti vya kupumzikia sisi wa kina kitombile wazee wa kuchakata na kupigilia misumali tuwe tunapata fursa ya kupumzika na watoto wakali huku tukivuta muda wa kwenda kuzagamua[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Yale hayana muda trust me, ndio muonekano wa soko kwa ujumla
 
Kusema ukweli bado mi sijajua mwonekano wa soko itakuwaje ..mwenye render yake atume pliz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni wakati sasa serikali kuipandisha hadhi wilaya ya magu kuwa halmashauri ya mji sasa hv nipo magu mji umeshashikana na kahangara halmashauri ya magu inabd waitoe ile stand yao waiweke pale karibu na jengo jipya wanapojenga la halmashauri
 
Vigezo hvyo hapo
Screenshot_20221109-072759.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barabara ya kuanzia buzuruga kupitia mecco adi nyakato sokoni wameipendezesha kwa kuiwekea lami ngumu na njia ya watembea kwa miguu, kwa kweli barabara ilikuwa imechoka sana, shukurani kwa halmashauri ya ilemela, kupita tarura, pia hongera kwa mkandarasi Nyanza company hii barabara sasa ni kiwango.
Nilipita apo Ijumaa usiku walikua ndio wameanza upande wa kushoto ukiwa unatoka barabara kuu iko poa sana...
 
Kuna project ya ujenzi wa gorofa hapo mjini kati mitaa ya lumumba na sasa wapo ghorofa ya tano na huyu mkandarasi wa huu ujenzi kesho ataanza kujenga jengo la ghorofa 12 maeneo ya clinic kuna mwana humu alishapost huo mradi nikamtania, ni kweli mradi upo na ghorofa 12.
Clinic maeneo gani?
 
Mgawo wa maji ...
Mwauwasa wanasema tatizo ni chanzo cha maji kilichopo kinatoa Lita milioni 60 tu .wakati jiji sasa hv Linahitaji Lita 160 milioni Kwa siku ...
1668004500325.jpg
1668004497350.jpg
1668004494132.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna project ya ujenzi wa gorofa hapo mjini kati mitaa ya lumumba na sasa wapo ghorofa ya tano na huyu mkandarasi wa huu ujenzi kesho ataanza kujenga jengo la ghorofa 12 maeneo ya clinic kuna mwana humu alishapost huo mradi nikamtania, ni kweli mradi upo na ghorofa 12.
Ni mimi ulinitania si upo pale maeneo ya mataa ya nera
 
Back
Top Bottom