Hapa umeupiga mwingi sana. Tunaopost picha Kuna Cha kujifunza hapa👏👏
Sidhani, lakini kama hawafanyi hivyo kwanini waliinvest Hela kutoa hii plan. Itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha kama hawaifuati. Suala la milima kuvamiwa yaani linakera , na kila tukipata wawekezaji ili basi plan milima ibadilishwe walau ifanane na master plan yetu siasa inakuwa nyingi. Ni baya sana wanasiasa kuwekeza kwenye maarifa ya watu kama mitaji ya kura.Sijui kama watu huwa wanapewa vibali vya ujenzi kufuata hii masterplan
Acha hizo kakaHapa umeupiga mwingi sana. Tunaopost picha Kuna Cha kujifunza hapa👏👏
How I wish waweke hizo paving blocks mbele ya shule ya pamba au watengeneze bustani za kupumzikia
bonge la soko mwanza tunaenda kuwa na masoko 4 ya kisasa soko la mjini Kati,kirumba,mkuyuni mswahili na mwaloni
Umesahau la buswelu. Kule nako ilemela Wanajikusanya, milango ikiwa poa wanakiwasha.bonge la soko mwanza tunaenda kuwa na masoko 4 ya kisasa soko la mjini Kati,kirumba,mkuyuni mswahili na mwaloni
Vituo vimekuwa vingi mno hata hivyo.Vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta vimesitishwa kwa muda
kweli tupeni update basi za constructions!Vituo vimekuwa vingi mno hata hivyo.
Walioko mwanza watupe update za constructionkweli tupeni update basi za constructions!
Magorofa mengi mwanza yanajengwa kwa Kasi sanaWalioko mwanza watupe update za construction
Hilo ni jambo jema sana kusikia hivo!Magorofa mengi mwanza yanajengwa kwa Kasi sana