Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hata sijui rafik angu

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20221111-154123_Chrome.jpg
 

Sijui kama watu huwa wanapewa vibali vya ujenzi kufuata hii masterplan

Sidhani, lakini kama hawafanyi hivyo kwanini waliinvest Hela kutoa hii plan. Itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha kama hawaifuati. Suala la milima kuvamiwa yaani linakera , na kila tukipata wawekezaji ili basi plan milima ibadilishwe walau ifanane na master plan yetu siasa inakuwa nyingi. Ni baya sana wanasiasa kuwekeza kwenye maarifa ya watu kama mitaji ya kura.
 
Back
Top Bottom