Ukiona mtu anakuchukia bila sababu, huyo anakukubali anatamani nafasi yako.Mwanza haijawahi kuchukiwa na mtu kasoro wachache ndugu zetu wa mlima mrefu! Ila Mungu ni mwema wanakanda ya ziwa hawanaga mtima nyongo yeyote anakaribishwa!
OK! Mwekezaji wake ni nani?
Hakika wewe ni legend katika kufuatilia maendeleo ya jiji la mwanza! Hongera sana mkuu KITOMBILE!
Jengo la mahakama nilishapost humu mkuu lilishakamilika, labda jengo la manispaa ya ilemela nalo lipo hatua ya mwisho nimeipenda sana architecture yake inavutia sana, nalo nitalitupia humu.Naomba kaka .. visit buswelu,,,,natamani nipate maendeleo ya jengo la mahakama na manispaa..lile jengo la mahakama linavutia sana mi niliacha linajengwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kiongoziUkiona mtu anakuchukia bila sababu, huyo anakukubali anatamani nafasi yako.
Sure....Yaani bro kwa hali ya kanda ya ziwa ukiwekeza kahama-geita -shinyanga ni sana tu na uko mwanza City maana miundo mbinu iliyopo kwa sasa na inayoendelea kujengwa inakupa access ya kuingia town mapema sana iwezekanavyo mkuu!
Ebu nitumie picture yake PM Hilo jengo la mahakama.nina matumizi nalo sehemuA
Jengo la mahakama nilishapost humu mkuu lilishakamilika, labda jengo la manispaa ya ilemela nalo lipo hatua ya mwisho nimeipenda sana architecture yake inavutia sana, nalo nitalitupia humu.
Wenyeji walishatuliza akili akili wakaamua kubaki makwao na kupambana kujiletea maendeleo.Sure....
Kipind nakua,..... mwanza has vijijini maendeleo yalikuwa yanaletwa na wageni wazawa walikuwa wamelala sana ..ila now days vijiji Hadi vya kwimba ndani ndani wenyeji wanajenga mijengo ya maana ,,,na umeme pamoja na maji yamekuwa distributed sana ..siku hizi wenyeji wamekuwa na spirit sana ya maendeleo tofauti na zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikishapost humu huwa nafuta lkn kwenye post sijui ya ngapi ila ipo humu nilishapost tena picha tatu mbalimbali.Ebu nitumie picture yake PM Hilo jengo la mahakama.nina matumizi nalo sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza wameamia kwenye flat roof na majengo ya gorofa moja kwaajili ya familia zao.Kwanini mwanza inaongoza Tanzania Kwa Majengo yanayojengwa ??? Tembelea vijijini uone ...hizo nyumba 64000 zinazojengwa ni mapinduzi makubwa kwenye sekta ya maendeleo mkoa wa mwanza.watu washaanza kuhama kwenye old fashioned house.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona ile, nahisi itapanda juu sana. Nimeona chamber mpaka ya liftNyasaka inakuja juu sana kwa sasa majengo mengi ya ghorofa na hotel za gorofa zimeshika hatamu, pia kuna ujenzi wa mall pale sijui ni shopping centre kama sio plazza, hapo karibu na maduka tisa.
Pia hapo buswelu kuna ujenzi mkubwa unaendelea sasa wapo floor ya tatu ya ofisi za attorney general.Kwanini mwanza inaongoza Tanzania Kwa Majengo yanayojengwa ??? Tembelea vijijini uone ...hizo nyumba 64000 zinazojengwa ni mapinduzi makubwa kwenye sekta ya maendeleo mkoa wa mwanza.watu washaanza kuhama kwenye old fashioned house.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitareview Uzi .Nitaipata inshallahNikishapost humu huwa nafuta lkn kwenye post sijui ya ngapi ila ipo humu nilishapost tena picha tatu mbalimbali.
Zamani huko kwimba watu walikuwa wanaogopana sana kwa Sababu ya ushirikina ila saizi ukifika hutaamini wanazengo wanajenga nyumba Kali balaa! Hayo maeneo ya kwimba yanajulikana kama BUSUMABU yalijaa ushirikina sana miaka ya nyuma! Na wasomi wengi wa mkoa wa mwanza wametokea Kwimba uliondoa ukerewe na sengerema!Sure....
Kipind nakua,..... mwanza has vijijini maendeleo yalikuwa yanaletwa na wageni wazawa walikuwa wamelala sana ..ila now days vijiji Hadi vya kwimba ndani ndani wenyeji wanajenga mijengo ya maana ,,,na umeme pamoja na maji yamekuwa distributed sana ..siku hizi wenyeji wamekuwa na spirit sana ya maendeleo tofauti na zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure....
Kipind nakua,..... mwanza has vijijini maendeleo yalikuwa yanaletwa na wageni wazawa walikuwa wamelala sana ..ila now days vijiji Hadi vya kwimba ndani ndani wenyeji wanajenga mijengo ya maana ,,,na umeme pamoja na maji yamekuwa distributed sana ..siku hizi wenyeji wamekuwa na spirit sana ya maendeleo tofauti na zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hiyo ni mall au plazza au ni shopping centre?nilitegemea majengo makubwa kama hayo yajengwe downtown. Alafu hilo jengo ni la mam mmoja wa kikurya anaitwa Janeth.....Niliona ile, nahisi itapanda juu sana. Nimeona chamber mpaka ya lift
Mkuu Mwanjelwa huwezi kulinganisha na solo kuu la mwanza boss!hivi wakuu soko kuu linalojengwa na lile la mwanjelwa mbeya lipi litakuwa kubwa
Aisee .. buswelu Pako hot...ila nyamagana nao wakiamua mkolani pawe hot wanaweza ..waanze kuhamisha halmashauri na idara zote za wilaya ziende mkolaniPia hapo buswelu kuna ujenzi mkubwa unaendelea sasa wapo floor ya tatu ya ofisi za attorney general.
Mwanjelwa si utopolo rafik angu ..hivi wakuu soko kuu linalojengwa na lile la mwanjelwa mbeya lipi litakuwa kubwa
Shida ya mkolani ni maeneo yameishaAisee .. buswelu Pako hot...ila nyamagana nao wakiamua mkolani pawe hot wanaweza ..waanze kuhamisha halmashauri na idara zote za wilaya ziende mkolani
Sent using Jamii Forums mobile app