Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Ukiona mtu anakuchukia bila sababu, huyo anakukubali anatamani nafasi yako.Mwanza haijawahi kuchukiwa na mtu kasoro wachache ndugu zetu wa mlima mrefu! Ila Mungu ni mwema wanakanda ya ziwa hawanaga mtima nyongo yeyote anakaribishwa!