Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

A
OK! Mwekezaji wake ni nani?
Hakika wewe ni legend katika kufuatilia maendeleo ya jiji la mwanza! Hongera sana mkuu KITOMBILE!

Naomba kaka .. visit buswelu,,,,natamani nipate maendeleo ya jengo la mahakama na manispaa..lile jengo la mahakama linavutia sana mi niliacha linajengwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jengo la mahakama nilishapost humu mkuu lilishakamilika, labda jengo la manispaa ya ilemela nalo lipo hatua ya mwisho nimeipenda sana architecture yake inavutia sana, nalo nitalitupia humu.
 
Yaani bro kwa hali ya kanda ya ziwa ukiwekeza kahama-geita -shinyanga ni sana tu na uko mwanza City maana miundo mbinu iliyopo kwa sasa na inayoendelea kujengwa inakupa access ya kuingia town mapema sana iwezekanavyo mkuu!
Sure....
Kipind nakua,..... mwanza has vijijini maendeleo yalikuwa yanaletwa na wageni wazawa walikuwa wamelala sana ..ila now days vijiji Hadi vya kwimba ndani ndani wenyeji wanajenga mijengo ya maana ,,,na umeme pamoja na maji yamekuwa distributed sana ..siku hizi wenyeji wamekuwa na spirit sana ya maendeleo tofauti na zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A

Jengo la mahakama nilishapost humu mkuu lilishakamilika, labda jengo la manispaa ya ilemela nalo lipo hatua ya mwisho nimeipenda sana architecture yake inavutia sana, nalo nitalitupia humu.
Ebu nitumie picture yake PM Hilo jengo la mahakama.nina matumizi nalo sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure....
Kipind nakua,..... mwanza has vijijini maendeleo yalikuwa yanaletwa na wageni wazawa walikuwa wamelala sana ..ila now days vijiji Hadi vya kwimba ndani ndani wenyeji wanajenga mijengo ya maana ,,,na umeme pamoja na maji yamekuwa distributed sana ..siku hizi wenyeji wamekuwa na spirit sana ya maendeleo tofauti na zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyeji walishatuliza akili akili wakaamua kubaki makwao na kupambana kujiletea maendeleo.
 
Kwanini mwanza inaongoza Tanzania Kwa Majengo yanayojengwa ??? Tembelea vijijini uone ...hizo nyumba 64000 zinazojengwa ni mapinduzi makubwa kwenye sekta ya maendeleo mkoa wa mwanza.watu washaanza kuhama kwenye old fashioned house.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza wameamia kwenye flat roof na majengo ya gorofa moja kwaajili ya familia zao.
 
Kwanini mwanza inaongoza Tanzania Kwa Majengo yanayojengwa ??? Tembelea vijijini uone ...hizo nyumba 64000 zinazojengwa ni mapinduzi makubwa kwenye sekta ya maendeleo mkoa wa mwanza.watu washaanza kuhama kwenye old fashioned house.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hapo buswelu kuna ujenzi mkubwa unaendelea sasa wapo floor ya tatu ya ofisi za attorney general.
 
Sure....
Kipind nakua,..... mwanza has vijijini maendeleo yalikuwa yanaletwa na wageni wazawa walikuwa wamelala sana ..ila now days vijiji Hadi vya kwimba ndani ndani wenyeji wanajenga mijengo ya maana ,,,na umeme pamoja na maji yamekuwa distributed sana ..siku hizi wenyeji wamekuwa na spirit sana ya maendeleo tofauti na zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani huko kwimba watu walikuwa wanaogopana sana kwa Sababu ya ushirikina ila saizi ukifika hutaamini wanazengo wanajenga nyumba Kali balaa! Hayo maeneo ya kwimba yanajulikana kama BUSUMABU yalijaa ushirikina sana miaka ya nyuma! Na wasomi wengi wa mkoa wa mwanza wametokea Kwimba uliondoa ukerewe na sengerema!

Back
Top Bottom