Mkuu upo serious kweli? Soko gani Tanzania linaparking underground ya magari 192, soko gani Tanzania lina sehemu za michezo ya watoto ikiwepo swimming pool na michezo ya magari n.k, soko gani Tanzania lina machinga complex ndani ya soko🚶🚶🚶hivi wakuu soko kuu linalojengwa na lile la mwanjelwa mbeya lipi litakuwa kubwa
Mall nyasaka [emoji16][emoji16][emoji28]si atakula hasara .. maeneo ambayo unaweza Jenga mall ikawa na business ni buzuruga, nyakato, nyegezi na pasiansiHivi hiyo ni mall au plazza au ni shopping centre?nilitegemea majengo makubwa kama hayo yajengwe downtown. Alafu hilo jengo ni la mam mmoja wa kikurya anaitwa Janeth.....
Kwani hapa mwanza ni maneneo gani hayajaisha?Tafuta pesa uifanye nyumba ya mwenzio ni kiwanja au uwanja wa kupitishia gari yako, chukulia mfano hospital ya royol wamenunua kiwanja kilichokuwa na nyumba kwa milion 700.Shida ya mkolani ni maeneo yameisha
Hahahaha...Kuna sehemu panapakana na shinyanga na simiyu panaitwa mwakilyambiti niliwahi kaaa.kule ilikuwa jadi jadi kweli .now days Kuna umeme na mijengo ya maana tuZamani huko kwimba watu walikuwa wanaogopana sana kwa Sababu ya ushirikina ila saizi ukifika hutaamini wanazengo wanajenga nyumba Kali balaa! Hayo maeneo ya kwimba yanajulikana kama BUSUMABU yalijaa ushirikina sana miaka ya nyuma! Na wasomi wengi wa mkoa wa mwanza wametokea Kwimba uliondoa ukerewe na sengerema!
Wafanyabishara wakubwa wengi hapo town ni wa pande za Musoma. Ndio maana hata link ya Musoma Mwanza ni sawa na Dar- Morogoro. Kuna Zacharia yeye kahamua kupanga Yutong zake kama Abood Dar-Moro kwa safari za Mwz-MsmHivi hiyo ni mall au plazza au ni shopping centre?nilitegemea majengo makubwa kama hayo yajengwe downtown. Alafu hilo jengo ni la mam mmoja wa kikurya anaitwa Janeth.....
Nyasaka ni sehemu ya middle income people ni wale watu wenye huelewa wa matumizi ya malls.Mall nyasaka [emoji16][emoji16][emoji28]si atakula hasara .. maeneo ambayo unaweza Jenga mall ikawa na business ni buzuruga, nyakato, nyegezi na pasiansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakurya wapo vizuri na hawana maneno mengi kam wenzetu waleee😂😂😂Wafanyabishara wakubwa wengi hapo town ni wa pande za Musoma. Ndio maana hata link ya Musoma Mwanza ni sawa na Dar- Morogoro. Kuna Zacharia yeye kahamua kupanga Yutong zake kama Abood Dar-Moro kwa safari za Mwz-Msm
Kweli kabisa. .mwanza Inapendwa sana na watu wa Mara ... kwenye development ya jiji..watu wa musoma ni kushukuriwa sana wameinvest sana mwanza,,,,wanafatiwa na watu wa simiyuWafanyabishara wakubwa wengi hapo town ni wa pande za Musoma. Ndio maana hata link ya Musoma Mwanza ni sawa na Dar- Morogoro. Kuna Zacharia yeye kahamua kupanga Yutong zake kama Abood Dar-Moro kwa safari za Mwz-Msm
Kina nani hao unawachokoza [emoji28][emoji28]Wakurya wapo vizuri na hawana maneno mengi kam wenzetu waleee[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzetu akipata kidogo utamuona anabweka kweli kweli!Wakurya wapo vizuri na hawana maneno mengi kam wenzetu waleee😂😂😂
Umepata bahati sana ya kuishi maeneo ya shinyanga.Hahahaha...Kuna sehemu panapakana na shinyanga na simiyu panaitwa mwakilyambiti niliwahi kaaa.kule ilikuwa jadi jadi kweli .now days Kuna umeme na mijengo ya maana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina nani hao Jamani [emoji28]au instanbulWenzetu akipata kidogo utamuona anabweka kweli kweli!
Mfanao hata Royal hospital angekuwa anatokea huko kwao maneno yangekuwa mengi sana!
Yeah watu wa Simiyu wako poa sema wengi pia wamekimbilia Kahama na katoro kwenye miji ya magharibi kwa kanda ya ziwa!Kweli kabisa. .mwanza Inapendwa sana na watu wa Mara ... kwenye development ya jiji..watu wa musoma ni kushukuriwa sana wameinvest sana mwanza,,,,wanafatiwa na watu wa simiyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa wale jamaa zake na instanbul
Wewe unawajua sana tu! Mfano huyo bwana wa Royal hospital yuko kimya kama hayupo! Lakini ni mtu kwenye mshiko mrefu ile mbaya!
Una utani na Istanbul [emoji13][emoji13][emoji13]Wakurya wapo vizuri na hawana maneno mengi kam wenzetu waleee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisaYeah watu wa Simiyu wako poa sema wengi pia wamekimbilia Kahama na katoro kwenye miji ya magharibi kwa kanda ya ziwa!
Kweli kabisa ...rich's wengi wa kisukuma sio wa matangazo sana ...Wewe unawajua sana tu! Mfano huyo bwana wa Royal hospital yuko kimya kama hayupo! Lakini ni mtu kwenye mshiko mrefu ile mbaya!
Unajua hata ile CF hospital ni wakurya waleKweli kabisa ...rich's wengi wa kisukuma sio wa matangazo sana ...
Naomba kuuliza watu wa Kagera ,wana investment Gani kubwa mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app