Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

hivi wakuu soko kuu linalojengwa na lile la mwanjelwa mbeya lipi litakuwa kubwa
Mkuu upo serious kweli? Soko gani Tanzania linaparking underground ya magari 192, soko gani Tanzania lina sehemu za michezo ya watoto ikiwepo swimming pool na michezo ya magari n.k, soko gani Tanzania lina machinga complex ndani ya soko🚶🚶🚶
 
Hivi hiyo ni mall au plazza au ni shopping centre?nilitegemea majengo makubwa kama hayo yajengwe downtown. Alafu hilo jengo ni la mam mmoja wa kikurya anaitwa Janeth.....
Mall nyasaka [emoji16][emoji16][emoji28]si atakula hasara .. maeneo ambayo unaweza Jenga mall ikawa na business ni buzuruga, nyakato, nyegezi na pasiansi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani huko kwimba watu walikuwa wanaogopana sana kwa Sababu ya ushirikina ila saizi ukifika hutaamini wanazengo wanajenga nyumba Kali balaa! Hayo maeneo ya kwimba yanajulikana kama BUSUMABU yalijaa ushirikina sana miaka ya nyuma! Na wasomi wengi wa mkoa wa mwanza wametokea Kwimba uliondoa ukerewe na sengerema!
Hahahaha...Kuna sehemu panapakana na shinyanga na simiyu panaitwa mwakilyambiti niliwahi kaaa.kule ilikuwa jadi jadi kweli .now days Kuna umeme na mijengo ya maana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo ni mall au plazza au ni shopping centre?nilitegemea majengo makubwa kama hayo yajengwe downtown. Alafu hilo jengo ni la mam mmoja wa kikurya anaitwa Janeth.....
Wafanyabishara wakubwa wengi hapo town ni wa pande za Musoma. Ndio maana hata link ya Musoma Mwanza ni sawa na Dar- Morogoro. Kuna Zacharia yeye kahamua kupanga Yutong zake kama Abood Dar-Moro kwa safari za Mwz-Msm
 
Wakurya wapo vizuri na hawana maneno mengi kam wenzetu waleee😂😂😂
 
Wafanyabishara wakubwa wengi hapo town ni wa pande za Musoma. Ndio maana hata link ya Musoma Mwanza ni sawa na Dar- Morogoro. Kuna Zacharia yeye kahamua kupanga Yutong zake kama Abood Dar-Moro kwa safari za Mwz-Msm
Kweli kabisa. .mwanza Inapendwa sana na watu wa Mara ... kwenye development ya jiji..watu wa musoma ni kushukuriwa sana wameinvest sana mwanza,,,,wanafatiwa na watu wa simiyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. .mwanza Inapendwa sana na watu wa Mara ... kwenye development ya jiji..watu wa musoma ni kushukuriwa sana wameinvest sana mwanza,,,,wanafatiwa na watu wa simiyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah watu wa Simiyu wako poa sema wengi pia wamekimbilia Kahama na katoro kwenye miji ya magharibi kwa kanda ya ziwa!
 
Tunasubiri miradi ya tactic haza ile ya kuweka kingo kwenye mto mirongo inafanya jiji kuwa bora kama miji ya wenzetu huko ulaya, hii kitu itaongeza mwonekano mzuri wa jiji ata master plan ya mwanza city ilitaja hii kitu.
 
Back
Top Bottom