Mwanza City: The Photo Gallery

Kikwete na serikali yake walikataa kwasababu wangekupunguza mapato ya kigongo ferry, hiyo barabara ya kamanga haitoweza kujengwa kwa lami adi daraja la kigongo busisi likamilike serikali inaangalia mapato yake na faida zake.
Yule mmiliki wa kamanga alitakaga ajenge ile Lami ya kamanga upande wa 2 had sengerema serikali wakamfanyia figisu
 
Kikwete na serikali yake walikataa kwasababu wangekupunguza mapato ya kigongo ferry, hiyo barabara ya kamanga haitoweza kujengwa kwa lami adi daraja la kigongo busisi likamilike serikali inaangalia mapato yake na faida zake.
Daraja litaathiri kivuko cha Kamanga???
 
Huyo ndio meb mwenyewe na ndio mwenye MS company ndio mwenye viwanda nyamhongolo n sasa anahamisha kiwanda chake nyanguge, nilishaleta story yake humu huyo ni mtu na robo tatu😂😂😂
ila kile kiwanda cha nyanguge ni komesha af kuna watu wa mbeya wanatuleteaga viwanda vya mahindi 😄😄😄😄
 
Daraja litaathiri kivuko cha Kamanga???
Daraja alitaathiri kivuko kuna watu wanapenda kupita kamanga ili waende buchosa, katunguru pia kamanga ni njia ya karibu zaidi kwahiyo kila mtu na kipenda roho chake japo kila mtu atataka apite darajani kufurahia uzuri wa daraja maridadi la kigongo busisi.
 
Misungwi kupitia nyashishi wangepeleka proposal serikalin wajenge stand Moja ya kisasa ya Hiace hata ya bn 6 watapiga sana hela pale
Mkuu hii nchi kuna watu wanakijicho na mwanza, kama sasa hivi kuwekewa stendi mbili imekuwa nongwa ndio tutake stendi ya tatu, hili jambo ni gumu labda tujenge kwa mapato yetu ya ndani tu.
 
Mkuu hii nchi kuna watu wanakijicho na mwanza, kama sasa hivi kuwekewa stendi mbili imekuwa nongwa ndio tutake stendi ya tatu, hili jambo ni gumu labda tujenge kwa mapato yetu ya ndani tu.
Wanaleta nyuzi za kulalama kila leo!🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…