Mwanza City: The Photo Gallery

Nina wasiwasi kama ni hospitali, majengo ya hospitali mara nyingi ni mafupi, ila lolote linawezekana
Kweli maana sijajua taarifa zake zinakanganya! Kama mtu alipiga picha ubao wa maelezo ya kikandarasi anaweza kutusaidia!
 
Huwa sitamani hotel zijengwa barabarani kama hapo nera palivyo banana ..kwani pembeni mwa ziwa Kuna nini ...au ni hotel za low stars ...uzuri wa hotel ni mazingira yanayozunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanja vya pembezoni mwa ziwa vina cost sanaa, nahisi inaweza kua moja ya tatizo
 
Yan mwanza ujenzi imewazid had Dodoma kwa mbali sana ambao wanasaidiwa na serikali πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Halafu unajua mwanza ni mjini mpaka kijijini ujenzi uko wa hali ya juu sana! Ukienda Kwimba kama unaelekea Ngudu njia panda ya Nhungumalwa watu wanajenga nyumba za kisasa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…