Mwanza City: The Photo Gallery

Wazo la ujenzi wa viwanja vya kisasa vya maonesho agizo la malima liliishia wapi?
Huyo mzee kafana akili na mama sio mfatiliaji kabisa, anaweza kuongea baada ya dakika moja akasahau aliongea nini? Hiyo inshu kama angekuwa serious lingeshaanza kutekelezwa.
 
Kiwanda kinahusika na nn

Hiyo picha ya juu ni michoro ya chuo cha DIT campus ya mwanza kinachojengwa, kama nimekosea naomba unambie.
Pia nashauri unapopost weka na details kidogo ili kila mtu hajue ulichopost ni nini🙏🙏🙏
 
Hivi hawa jamaa wanahusika na nn na wanapatikana eneo gani Mwanza
 
Wamiliki wa mabasi wanalalamika udogo wa stendi ya nyamhongolo, imefikia hatua mabasi yakosa sehemu ya kupark, lakini hii stendi tulidanganywa inauwezo wa kupaki mabasi 120 kumbe unawezo wa mabasi 80 tu.
 
Nimkumbuka Sunk na post zake za Mabasi, huku kuna miji ina stand mbili na hazitoshi [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Nimkumbuka Sunk na post zake za Mabasi, huku kuna miji ina stand mbili na hazitoshi [emoji13][emoji13][emoji13]
Hiyo stendi ni ndogo mkuu, leo nikasikia wanampango wakuongezea kwa nje parking ya mabasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…