- Thread starter
- #6,101
Mwenyewe hiyo package ya pitch sijawahi isikia Tena Ina majukwaa sehemu mbili changa la machoHila hapo kwenye kiwanja cha mpira wametuingiza chaka, vingine vyote ni correct.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe hiyo package ya pitch sijawahi isikia Tena Ina majukwaa sehemu mbili changa la machoHila hapo kwenye kiwanja cha mpira wametuingiza chaka, vingine vyote ni correct.
Hyo pitch wajengee upande wa pili wa barabara kwenye eneo la uwanja wa sabasabaMwenyewe hiyo package ya pitch sijawahi isikia Tena Ina majukwaa sehemu mbili changa la macho
Kama ulikuwa kwenye fikra zangu.Hyo pitch wajengee upande wa pili wa barabara kwenye eneo la uwanja wa sabasaba
Wazo la ujenzi wa viwanja vya kisasa vya maonesho agizo la malima liliishia wapi?Kama ulikuwa kwenye fikra zangu.
Huyo mzee kafana akili na mama sio mfatiliaji kabisa, anaweza kuongea baada ya dakika moja akasahau aliongea nini? Hiyo inshu kama angekuwa serious lingeshaanza kutekelezwa.Wazo la ujenzi wa viwanja vya kisasa vya maonesho agizo la malima liliishia wapi?
Huo uwanja mbona upo mda mrefu tu hata Mbao kipindi wapo ligi kuu walikua wanautumia kufanya mazoezi...Hila hapo kwenye kiwanja cha mpira wametuingiza chaka, vingine vyote ni correct.
Hiyo picha ya juu ni michoro ya chuo cha DIT campus ya mwanza kinachojengwa, kama nimekosea naomba unambie.
Pia nashauri unapopost weka na details kidogo ili kila mtu hajue ulichopost ni nini🙏🙏🙏
Kipo maeneo ganiKiwanda kinahusika na nn
View attachment 2420972
Nyanguge nmetumia GoogleKipo maeneo gani
hicho nilishakieleza humu ni cha Patel wa Mwanza steel anakijenga hapo nyanguge, kitakuwa ni multfactorial mpaka steel pia na vyakula na vinywaji.Kipo maeneo gani
Bado hakijaanza kazihicho nilishakieleza humu ni cha Patel wa Mwanza steel anakijenga hapo nyanguge, kitakuwa ni multfactorial mpaka steel pia na vyakula na vinywaji.
Bado hakijaanza kazi
Nimkumbuka Sunk na post zake za Mabasi, huku kuna miji ina stand mbili na hazitoshi [emoji13][emoji13][emoji13]Wamiliki wa mabasi wanalalamika udogo wa stendi ya nyamhongolo, imefikia hatua mabasi yakosa sehemu ya kupark, lakini hii stendi tulidanganywa inauwezo wa kupaki mabasi 120 kumbe unawezo wa mabasi 80 tu.
Hiyo stendi ni ndogo mkuu, leo nikasikia wanampango wakuongezea kwa nje parking ya mabasi.Nimkumbuka Sunk na post zake za Mabasi, huku kuna miji ina stand mbili na hazitoshi [emoji13][emoji13][emoji13]
Ingawa wanalazimisha mabasi yasichelewe kuondoka lakini wapi.Hiyo stendi ni ndogo mkuu, leo nikasikia wanampango wakuongezea kwa nje parking ya mabasi.
Cha muhimu Halmashauri iingize pesa tuIngawa wanalazimisha mabasi yasichelewe kuondoka lakini wapi.
Na pesa wanapiga sana tu hapo.Cha muhimu Halmashauri iingize pesa tu