Mwanza City: The Photo Gallery

Jiji lijenge .Kwa mapato Gani . estimate ya Gharama ya barabara Ile si chini ya bilioni 50 ...mapato ya nyamagana ni kama bilion 20 ....ukisema zote uziweke kwenye barabara.sekta zingine je
Hakuna kisichowezekana ni kujipanga tuu na sio lazima watumie bilion 50, kama wakurugenzi wanaendesha magari ya milioni 500 kwanini isiwezekane?
 
Hakuna kisichowezekana ni kujipanga tuu na sio lazima watumie bilion 50, kama wakurugenzi wanaendesha magari ya milioni 500 kwanini isiwezekane?
Ndio tatizo linakuja ,kuwa chini ya mamlaka husika ..jiji wanaishia TAMISEMI TARURA...lakini tanroads wako wizara ya ujenzi...
 
Ujenzi wa Jengo la Mwanasheria mkuu wa serikali Mwanza litakua na floor 3 mwenye updates na hili jengo
 
Huu mradi umeanza kutekelezwa kwa speed kubwa na upo hapo kirumba karibu na majengo ya kitana hapo karibu na ofisi za mkombozi ferry na pia mandhari ya maeneo hayo ni ya kuvutia sana.
Huo mfumo wa majitaka ndo unakuwaje sasa aisee
 
Mikkde unaona dodoma, wewe unaridhika na daraja tu.
Mh ...hii project inaanza Lin mbona sijaisikia ...yaani waruke dar waende dodoma...labda wajenge ruti ya udom kwenda town .ila ruti zingine itabdi waondoe daladala barabarani
 
Niko hapà misungwi.nashauri management ya tanroad mkoa iondolewe kazini ..sio Kwa ubovu huu barabara..no comfortability Toka nimeanza huu mkoa ..ngoja niendelee kujionea
 
Niko hapà misungwi.nashauri management ya tanroad mkoa iondolewe kazini ..sio Kwa ubovu huu barabara..no comfortability Toka nimeanza huu mkoa ..ngoja niendelee kujionea
Hiyo serikali unazan itakusikia kutengeneza hiyo barabara ya kenyatta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…