Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Noma sana bila kusahau bugarika kundi la bad pozSasa uhuni umepungua sana, si kama miaka ya 2006 - 2009 yalikuwepo makundi ya vijana wavuta bangi kama majeshi ya waasi, kila mtaa na squad yake, makundi kama Mapimbilo, I1, Manyilizu, Bark boys nk, makundi yakikutana ni vita vitani....siyaoni hayo makundi ck Hz.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa ni makazi ya watu but hapo ni Central business district
Kipindi nipo form one nilikuwa naogopa hizi gang hasa manyilizu ata ukiwa umebeba begi la shule watakuja kukufanyia fujo na kukuibia siku hizi nimekuwa haya magenge siyaoni tena.Sasa uhuni umepungua sana, si kama miaka ya 2006 - 2009 yalikuwepo makundi ya vijana wavuta bangi kama majeshi ya waasi, kila mtaa na squad yake, makundi kama Mapimbilo, I1, Manyilizu, Bark boys nk, makundi yakikutana ni vita vitani....siyaoni hayo makundi ck Hz.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pamoja na mabatiniNoma sana bila kusahau bugarika kundi la bad poz
Zaman vijana walipenda sana uhuni igoma,bugarika,igogo na kitangiri makundi yalikua ni moto
Mbona siku hiz ww adimu sanaPamoja na mabatini
Siku moja waliwahi kuvamia shule moja inaitwa #NYASAKA_SECONDARY ilikuwa mwaka 2006 nafkir walikuwa A1 wakachukua mabegi ya wanafunzi pale, Alooo! tuliwafanyia msako hao tukambahatisha mmoja wao maeneo ya Kangae..Kipindi nipo form one nilikuwa naogopa hizi gang hasa manyilizu ata ukiwa umebeba begi la shule watakuja kukufanyia fujo na kukuibia siku hizi nimekuwa haya magenge siyaoni tena.
Siku moja waliwahi kuvamia shule moja inaitwa #NYASAKA_SECONDARY ilikuwa mwaka 2006 nafkir walikuwa A1 wakachukua mabegi ya wanafunzi pale, Alooo! tuliwafanyia msako hao tukambahatisha mmoja wao maeneo ya Kangae..
Sasa ikabidi tumpeleke polisi, chini ya jemedali Mwalimu NG'WELEMI, wanafunzi walikuwa kama wote wanaelekea polisi, kufika pale Nundu primary, tukakuta squad pale ya wale vibaka wa A1 kama mia, lol, ilikuwa ni mtifuano, wanafunzi wakatawanyika wote, ikabidi NG'WELEMI apambane sasa, bahati mbaya wakampokonya yule jamaa Yao, Kisha wakaanza kumkimbiza NG'WELEMI, ndio jamaa kukimbilia polisi.
Kuna maeneo ulikuwa hupaswi kukatisha saa moja jioni, maake ilikuwa kujitafutia shida tu, maeneo ya Nundu shule ya msingi, Nyakato shule ya msingi, magola ya nyasaka sec n.k, sasa vijana wengi wakahamasika kutembea na silaha kama pisipisi na vizuri Kwa kivuli Cha kujilinda, noma sanaaaa
Tunashukuru Mungu mwisho hyo Hali ilikoma
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kamera ya sim yangu ,sio Kali ...Kuna maeneo sijayatendea haki ..inatakiwa camera Kali at least ya iphone 13 ,au camera zile za mkononi ..mtanisamehe wakuu[emoji4]Taa za barabarani.airport road.naona mradi imestop ... tanroads wachangamke wafike at least rock city mall ili Ghana papendeze zaidi [emoji116][emoji4]View attachment 2437891View attachment 2437892View attachment 2437894View attachment 2437895
Usijali kamandaKamera ya sim yangu ,sio Kali ...Kuna maeneo sijayatendea haki ..inatakiwa camera Kali at least ya iphone 13 ,au camera zile za mkononi ..mtanisamehe wakuu[emoji4]
Tembelea na Machinga complexTaa za barabarani.airport road.naona mradi imestop ... tanroads wachangamke wafike at least rock city mall ili Ghana papendeze zaidi [emoji116][emoji4]View attachment 2437891View attachment 2437892View attachment 2437894View attachment 2437895
Jengo la sambulugu Ghana, linajengwa pande zipi, ni ghorofa ngapi?As I promised...nimemaliza tour ya mwanza.. ngoja niwape update kidogo ndugu zangu[emoji116]
Nimetembelea miradi hii
DIT ilemela
jengo la sambulugu Ghana
Ujenzi wa hotel Mpya Ghana
Ujenzi wa barabara za stendi nyegezi
Ujenzi wa jengo la biashara nyegezi
uwekaji taa barabara ya airport
Ujenzi wa jengo la biashara rwegasore
Nimetembea pia mitaa ya mahina
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jengo la sambulugu Ghana, linajengwa pande zipi, ni ghorofa ngapi?
GhanaJengo la sambulugu ...liko floor ya tisa ..ukiplus na Ile minor floor kule juu inakuwa 10 floor...
Jengo hili limekuwa landmark/icon ya Ghana ... pamendeza.wakandarasi wako site .wanafanya interior finishing....kama wakipiga finishing nzuri nje .patapendeza sana .
Nimesoma kibao Cha Mradi ... client ni kampuni la RLCH company...jengo halisemi ni hospital.bali inaonekana ni makao makuu ya Hilo kampuni... project name inasema RLCH building.im just 30 percent kuamini hii ni hospital [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2437906View attachment 2437907View attachment 2437908View attachment 2437909