Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Sasa uhuni umepungua sana, si kama miaka ya 2006 - 2009 yalikuwepo makundi ya vijana wavuta bangi kama majeshi ya waasi, kila mtaa na squad yake, makundi kama Mapimbilo, I1, Manyilizu, Bark boys nk, makundi yakikutana ni vita vitani....siyaoni hayo makundi ck Hz.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Noma sana bila kusahau bugarika kundi la bad poz

Zaman vijana walipenda sana uhuni igoma,bugarika,igogo na kitangiri makundi yalikua ni moto
 
Sasa uhuni umepungua sana, si kama miaka ya 2006 - 2009 yalikuwepo makundi ya vijana wavuta bangi kama majeshi ya waasi, kila mtaa na squad yake, makundi kama Mapimbilo, I1, Manyilizu, Bark boys nk, makundi yakikutana ni vita vitani....siyaoni hayo makundi ck Hz.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kipindi nipo form one nilikuwa naogopa hizi gang hasa manyilizu ata ukiwa umebeba begi la shule watakuja kukufanyia fujo na kukuibia siku hizi nimekuwa haya magenge siyaoni tena.
 
Siku moja waliwahi kuvamia shule moja inaitwa #NYASAKA_SECONDARY ilikuwa mwaka 2006 nafkir walikuwa A1 wakachukua mabegi ya wanafunzi pale, Alooo! tuliwafanyia msako hao tukambahatisha mmoja wao maeneo ya Kangae..

Sasa ikabidi tumpeleke polisi, chini ya jemedali Mwalimu NG'WELEMI, wanafunzi walikuwa kama wote wanaelekea polisi, kufika pale Nundu primary, tukakuta squad pale ya wale vibaka wa A1 kama mia, lol, ilikuwa ni mtifuano, wanafunzi wakatawanyika wote, ikabidi NG'WELEMI apambane sasa, bahati mbaya wakampokonya yule jamaa Yao, Kisha wakaanza kumkimbiza NG'WELEMI, ndio jamaa kukimbilia polisi.

Kuna maeneo ulikuwa hupaswi kukatisha saa moja jioni, maake ilikuwa kujitafutia shida tu, maeneo ya Nundu shule ya msingi, Nyakato shule ya msingi, magola ya nyasaka sec n.k, sasa vijana wengi wakahamasika kutembea na silaha kama pisipisi na vizuri Kwa kivuli Cha kujilinda, noma sanaaaa

Tunashukuru Mungu mwisho hyo Hali ilikoma

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa ni hatari sana ila kwasasa hayo makundi sijui kama yapo asee.

As I promised...nimemaliza tour ya mwanza.. ngoja niwape update kidogo ndugu zangu[emoji116]
Nimetembelea miradi hii
DIT ilemela
jengo la sambulugu Ghana
Ujenzi wa hotel Mpya Ghana
Ujenzi wa barabara za stendi nyegezi
Ujenzi wa jengo la biashara nyegezi
uwekaji taa barabara ya airport
Ujenzi wa jengo la biashara rwegasore
Nimetembea pia mitaa ya mahina
 
Mitaa ya mahina ...kama unaelekea mahina kati ..unapotoka mwananchi na Temeke nyakato [emoji116][emoji116][emoji91]
PSX_20221206_193605.jpg
PSX_20221206_193541.jpg
IMG_20221206_111153_548.jpg
IMG_20221206_110521_752.jpg
IMG_20221206_110419_963.jpg
IMG_20221206_110333_265.jpg
IMG_20221206_110215_500.jpg
 
Kamera ya sim yangu ,sio Kali ...Kuna maeneo sijayatendea haki ..inatakiwa camera Kali at least ya iphone 13 ,au camera zile za mkononi ..mtanisamehe wakuu[emoji4]
Usijali kamanda
 
Ujenzi wa chuo Cha DIT unaendelea Kwa kasi ..na kile kibao wameweka picha za majengo yanayojengwa..ni majengo makubwa na mazuri .. wakandarasi wako site 24 hours ...Kwa ule mchoro nadhani DIT itakuwa chuo kizuri kuliko hata SAUT ...

[emoji28][emoji28] engineer kanifukuza na kunizuia nisipige picha kile kibao Cha mradi ..[emoji116][emoji116][emoji116]
PSX_20221206_193514.jpg
PSX_20221206_193445.jpg
PSX_20221206_193421.jpg
 
As I promised...nimemaliza tour ya mwanza.. ngoja niwape update kidogo ndugu zangu[emoji116]
Nimetembelea miradi hii
DIT ilemela
jengo la sambulugu Ghana
Ujenzi wa hotel Mpya Ghana
Ujenzi wa barabara za stendi nyegezi
Ujenzi wa jengo la biashara nyegezi
uwekaji taa barabara ya airport
Ujenzi wa jengo la biashara rwegasore
Nimetembea pia mitaa ya mahina
Jengo la sambulugu Ghana, linajengwa pande zipi, ni ghorofa ngapi?
 
Jengo la sambulugu ...liko floor ya tisa ..ukiplus na Ile minor floor kule juu inakuwa 10 floor...
Jengo hili limekuwa landmark/icon ya Ghana ... pamendeza.wakandarasi wako site .wanafanya interior finishing....kama wakipiga finishing nzuri nje .patapendeza sana .
Nimesoma kibao Cha Mradi ... client ni kampuni la RLCH company...jengo halisemi ni hospital.bali inaonekana ni makao makuu ya Hilo kampuni... project name inasema RLCH building.im just 30 percent kuamini hii ni hospital [emoji116][emoji116][emoji116]
PSX_20221206_192342.jpg
PSX_20221206_192302.jpg
PSX_20221206_192211.jpg
PSX_20221206_192138.jpg
 
Jengo la sambulugu ...liko floor ya tisa ..ukiplus na Ile minor floor kule juu inakuwa 10 floor...
Jengo hili limekuwa landmark/icon ya Ghana ... pamendeza.wakandarasi wako site .wanafanya interior finishing....kama wakipiga finishing nzuri nje .patapendeza sana .
Nimesoma kibao Cha Mradi ... client ni kampuni la RLCH company...jengo halisemi ni hospital.bali inaonekana ni makao makuu ya Hilo kampuni... project name inasema RLCH building.im just 30 percent kuamini hii ni hospital [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2437906View attachment 2437907View attachment 2437908View attachment 2437909
Ghana
PSX_20221206_191755.jpg
 
Back
Top Bottom