Mwanza City: The Photo Gallery

Jitaidi mkuu upige picha ata machinga complex ndio uondoke, cha kufanya amka asubuhi sana uende hapo mchafu koge kamanda then mida unapanda basi kutimkia kahama[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
[emoji28][emoji28]...nimepaona tu Kwa mbali. Ujenzi unaendelea...hata Mimi nilitamani nifanye hvyo...ila majukumu yananilazimu saa Tano niwe nimefika kahama ...Kwa mwendo wa frester natakiwa saa 1 niwe stendi.... nitarudi February.inshalaah update zitapatikana tu ..
 
Hii kazi ataifanya intelligent man.😀😀😀
 
Mh .. maybe...ila wembamba wa zile nguzo sidhani... ghorofa 6 ,7 au 5 inawezekana.
Wewe upo kama mimi, mimi huwa nakaribia urefu jengo kwa kuangalia unene wa nguzo na sehemu ya lift kama ipo kwenye mjengo.
 
Wewe upo kama mimi, mimi huwa nakaribia urefu jengo kwa kuangalia unene wa nguzo na sehemu ya lift kama ipo kwenye mjengo.
Kitu kingine unaweza angalia
vifaa vinavyotumika
.urefu wa msingi kwenda chini ,
Ukubwa wa eneo
Na wakandarasi wanaohusika
 
capri point moto unawaka. Hizi apartments ziko kiwango sana. Nashauri kile Kijiji karibu na Capri hotel kinunuliwe na kujengwe majengo ya kisasa. Capri point Bado ni sehemu iliyo juu ya mlima ambayo Ina makazi Bora na ya kisasa kabisa. Natamani ifike siku mlima ujae vitu kama hivi
 

Hao nao wanajihesabu wanaishi capri point, bila serikali kuingilia hawamishwi kirahisi hao
 
Hizo hiace zitolewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hongera Dr angelina mabula kushinda ujumbe wa Nec kwa kuongoza kura naamin utakuwa na influence ya kuleta maendeleo jiji la mwanza hasa manispaa ya ilemela
Yle maza amefanya kazi kubwa ya kupima maeneo ya Ilemela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…