Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Jitaidi mkuu upige picha ata machinga complex ndio uondoke, cha kufanya amka asubuhi sana uende hapo mchafu koge kamanda then mida unapanda basi kutimkia kahama[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
[emoji28][emoji28]...nimepaona tu Kwa mbali. Ujenzi unaendelea...hata Mimi nilitamani nifanye hvyo...ila majukumu yananilazimu saa Tano niwe nimefika kahama ...Kwa mwendo wa frester natakiwa saa 1 niwe stendi.... nitarudi February.inshalaah update zitapatikana tu ..
 
[emoji28][emoji28]...nimepaona tu Kwa mbali. Ujenzi unaendelea...hata Mimi nilitamani nifanye hvyo...ila majukumu yananilazimu saa Tano niwe nimefika kahama ...Kwa mwendo wa frester natakiwa saa 1 niwe stendi.... nitarudi February.inshalaah update zitapatikana tu ..
Hii kazi ataifanya intelligent man.😀😀😀
 
Mh .. maybe...ila wembamba wa zile nguzo sidhani... ghorofa 6 ,7 au 5 inawezekana.
Wewe upo kama mimi, mimi huwa nakaribia urefu jengo kwa kuangalia unene wa nguzo na sehemu ya lift kama ipo kwenye mjengo.
 
Wewe upo kama mimi, mimi huwa nakaribia urefu jengo kwa kuangalia unene wa nguzo na sehemu ya lift kama ipo kwenye mjengo.
Kitu kingine unaweza angalia
vifaa vinavyotumika
.urefu wa msingi kwenda chini ,
Ukubwa wa eneo
Na wakandarasi wanaohusika
 
1670362525998.png
 
5a406ecace96935a575eaeca574c8323.jpg
0f0905b03cf5ed52982cc6a5b61d34f6.jpg
capri point moto unawaka. Hizi apartments ziko kiwango sana. Nashauri kile Kijiji karibu na Capri hotel kinunuliwe na kujengwe majengo ya kisasa. Capri point Bado ni sehemu iliyo juu ya mlima ambayo Ina makazi Bora na ya kisasa kabisa. Natamani ifike siku mlima ujae vitu kama hivi
 
View attachment 2438989View attachment 2438990capri point moto unawaka. Hizi apartments ziko kiwango sana. Nashauri kile Kijiji karibu na Capri hotel kinunuliwe na kujengwe majengo ya kisasa. Capri point Bado ni sehemu iliyo juu ya mlima ambayo Ina makazi Bora na ya kisasa kabisa. Natamani ifike siku mlima ujae vitu kama hivi
1670443260171.png

Hao nao wanajihesabu wanaishi capri point, bila serikali kuingilia hawamishwi kirahisi hao
 
Jengo la sambulugu ...liko floor ya tisa ..ukiplus na Ile minor floor kule juu inakuwa 10 floor...
Jengo hili limekuwa landmark/icon ya Ghana ... pamendeza.wakandarasi wako site .wanafanya interior finishing....kama wakipiga finishing nzuri nje .patapendeza sana .
Nimesoma kibao Cha Mradi ... client ni kampuni la RLCH company...jengo halisemi ni hospital.bali inaonekana ni makao makuu ya Hilo kampuni... project name inasema RLCH building.im just 30 percent kuamini hii ni hospital [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2437906View attachment 2437907View attachment 2437908View attachment 2437909
Hizo hiace zitolewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hongera Dr angelina mabula kushinda ujumbe wa Nec kwa kuongoza kura naamin utakuwa na influence ya kuleta maendeleo jiji la mwanza hasa manispaa ya ilemela
Yle maza amefanya kazi kubwa ya kupima maeneo ya Ilemela.
 
Back
Top Bottom