Ayo maeneo zipandwe bustani natamani katikati ya jiji kuwepo na Park nyingi. Nmeangalia ujenzi wa Maghorofa Mwanza ni mfumo wa miji mingi India ya Ghorofa linajengwa no space for parking no space for garden yaan ovyoovyo styleHayo mabati yaliyochakaa yanatakiwa yabomolewee zijengwe scraper,kuna vijumba vingi Sanaa ndani ya CBD vimejichokeaaa vnaharbu jiji
Tatizo ni mipango miji ya zamani, plot za 15x30 mjini???? Miaka hiyoAyo maeneo zipandwe bustani natamani katikati ya jiji kuwepo na Park nyingi. Nmeangalia ujenzi wa Maghorofa Mwanza ni mfumo wa miji mingi India ya Ghorofa linajengwa no space for parking no space for garden yaan ovyoovyo style
Kuna siku nilishawahi kusema tunajenga mji kishamba, kwa nini isiwe sheria Ukijenga, ujenge na parkingAyo maeneo zipandwe bustani natamani katikati ya jiji kuwepo na Park nyingi. Nmeangalia ujenzi wa Maghorofa Mwanza ni mfumo wa miji mingi India ya Ghorofa linajengwa no space for parking no space for garden yaan ovyoovyo style
Mzee hizi za ndani sana kakaMwaka 2023 mwanzon utakuwa wa kishindo mwanza Raisi ataiagiza wizara ya ujenzi uipanue barabara ya kenyata njia nne atawaambia msiishie kenyata mpanue na barabara ya nyerere mnasubir daraja liishe magari yaongezeke msongamano uwe mkubwa
Mr intelligent man raisi anakuja lini kufungua stendi?Mwaka 2023 mwanzon utakuwa wa kishindo mwanza Raisi ataiagiza wizara ya ujenzi uipanue barabara ya kenyata njia nne atawaambia msiishie kenyata mpanue na barabara ya nyerere mnasubir daraja liishe magari yaongezeke msongamano uwe mkubwa
Jamaa huwa analala anaotaMzee hizi za ndani sana kaka
Kwa hiyo walipoongea ukajua tayari, huwajui ccm wewe.Jana kwny mkutano wa ccm kila mkoa ulikuwa unatoa changamoto za mkoa wake mzungumzaj wa mkoa wa mwanza kwny changamoto zote kazungumzia changamoto kuu 2 za mwanzo
1.upanuz wa barabara njia nne kutoka mjn had misungwi
2.upanuz wa njia nne kutoka mjini had magu
3.ujenzi wa daraja la rugezi linalounganisha ukerewe
4.kero za machinga pale makoroboi pajengwe miundombinu ya kisasa
5.barabara ya magu had hungumalwa
Na haijaonekana kama changamoto kwa kweli mwanza tuna safari ndefu ya kupata viongozi sahihiKwa hiyo walipoongea ukajua tayari, huwajui ccm wewe.
Airport tu hiyo hapo imetelekezwa
Hii Rugezi inaunganisha Bunda na Ukerewe sio?Jana kwny mkutano wa ccm kila mkoa ulikuwa unatoa changamoto za mkoa wake mzungumzaj wa mkoa wa mwanza kwny changamoto zote kazungumzia changamoto kuu 2 za mwanzo
1.upanuz wa barabara njia nne kutoka mjn had misungwi
2.upanuz wa njia nne kutoka mjini had magu
3.ujenzi wa daraja la rugezi linalounganisha ukerewe
4.kero za machinga pale makoroboi pajengwe miundombinu ya kisasa
5.barabara ya magu had hungumalwa
Sasa hivi financial advisor kahamia kwenye zao la Pamba π π πKwa hiyo walipoongea ukajua tayari, huwajui ccm wewe.
Airport tu hiyo hapo imetelekezwa
Financial advisor ni bure kabisaSasa hivi financial advisor kahamia kwenye zao la Pamba π π π
π€£π€£π€£π€£π€£Financial advisor ni bure kabisa
ππππππππππππππππFinancial advisor ni bure kabisa
[emoji28][emoji28][emoji28]mitaa yako ya uswazi tu [emoji28][emoji28][emoji28]Mkuyuni.... mwanza ni jiji lenye view kali sana mipango ni zeroView attachment 2440861View attachment 2440862View attachment 2440863
Mitaa yangu hii ...mahina relini hapo