Baada ya kuona Victor Bout ameachiwa, nikakumbuka ile docudrama ya Drawins Nightmare, filamu ya mapanki...
Ikabidi niitafute upya niiangalie baada ya miaka zaidi ya kumi...
Hivi wazee Mwanza , tupeni basi historia fupi ya kipindi kile, Mwanza kujishtukia ghafla na kuwa kati busiest Airport in East Africa nzima, kwa ili midude ya kirrussia ilikuwa inatua pale ..Ilyushin II-76....
Kipindi kile maisha yaliwaje Mwanza , je mzunguko wa pese uliongezeka kulingana na sasa.?
Na pia baada ya ile filamu kutembea nchi ulaya, nasikia wazungu wakapiga marufuku samaki wa sangara kwenye nchi zao, na kupelekea kushuka kwa soko la kimataifa...
Pia Jakaya, alilaani sana ule upotofu ulio unyeshwa akaanzisha ampeni...ambayo ikapata sapoti ya wanahabari nguli duniani na wakaanzza kumshabulia yule muuandaji wa hii filamu kwa upotofu ulionyeshwa na kuleta taswira mbaya nchini.....
Pia nasikia wale waliokuwa wanaonyeshwa kwenye hiyo filamu, walikuja kupewa kashkash na mapolisi kichizi na mpaka yule mwandishi aliyeunganisha doti za ndenge zinaleta silaha zitua na kupakia samaki zikiondoka, je ni kweli?
Tupeni ukweli kutaka nyie wenyewe wazawa?