Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hata Mabula mwanaume nimeona anajibu msgHuyu jamaa anajibu message..ukimdm au ukicoment[emoji116][emoji116][emoji116]
Tumpelekee maoni yetuView attachment 2444283
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mabula mwanaume nimeona anajibu msgHuyu jamaa anajibu message..ukimdm au ukicoment[emoji116][emoji116][emoji116]
Tumpelekee maoni yetuView attachment 2444283
Jitaidi huwe unaleta na picha.Kumbe mabatini shuleni wamejenga sports center kama ya mirongo
Hivi kwa nini asiwe anakaa kimya 🤣🤣🤣, natania.Jitaidi huwe unaleta na picha.
Capri pointHivi huko mwanza mtaa wenu wa matajiri unaitwaje
Jaman eeh mwanza n rahaCapri point
Bwiru
Nyasaka
Kiseke
Nyegezi
Busweru
Nyamhongoro
Mwananchi
Shamaliwa
Kakebe
Isamilo
Malaika
Kona ya bwiru(minazi mitatu&stone gold) nk
Mwanza hakuna sehemu moja ya matajiri [emoji3]
Kumbe mabatini shuleni wamejenga sports center kama ya mirongo
Ukiwa pale nyamhongolo nanenane ..zile nyumba zinazoonekana Kwa mbele kule kama mlimani ndio shamaliwa ? Au ni kishiriLeo nilikua natembea maeneo ya shamaliwa aiseee shamaliwa ya moto sana,nilianzia pale soko la mbao kushuka huko nchini aiseee ni [emoji378][emoji378]
Umeme changamoto simu haikua na chaji ila kesho mkae mkao wa kula
Hio ni kishiri downtown[emoji1] kiongoz shamaliwa unaiona kidogo sanaUkiwa pale nyamhongolo nanenane ..zile nyumba zinazoonekana Kwa mbele kule kama mlimani ndio shamaliwa ? Au ni kishiri
Shamaliwa ndo wapi sasa ..maana Ile huku road ni igoma ...au ni nyuma ya hyo milimaHio ni kishiri downtown[emoji1] kiongoz shamaliwa unaiona kidogo sana
Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndaniShamaliwa ndo wapi sasa ..maana Ile huku road ni igoma ...au ni nyuma ya hyo milima